1.Uhai unadanganya Sana Kuwa Makini Na Matendo Yako Muda Wowote Unaondoka...
2.Unaishi Kwa Kuwaangalia Watu Na Sio Vile Wewe Unatakiwa Kuishi Umri Ukienda Ndio Unakuja Kugundua Maisha Ni Yako Na Sio Kwaajili Ya Wengine Kwahiyo Ishi Maisha Yako...
3.Watu Wengi Hawajui Maana Ya Mafanikio Tunaamini Kufanikiwa Ni Kutimiza Lengo Fulani Ila Ukweli Ni Kwamba Mafanikio Ni Zile Hatua Utakazochukua Kwaajili Ya Kufanya Jambo Lolote Haijalishi Upo Katika Hatua Gani... Acha Kuamini Mafanikio Ni Matokeo Ila Amini Mafanikio Ni Mchakato Haijalishi Upo Kwenye Hatua Ipi...
4.Binadamu Ni Zao La Akili Yake Yaani Vile Utakavyo Waza Vile Utakavyo Fanya Na Vile Utakavyoishi Ndio Jinsi Utakavyokua Hakuna Miujiza Yaani Kama Unatumia Muda Mwingi Kupoteza Muda Na Muda Utapotea Hivyohivyo Na Ukiamua Kuishi Kwa Kuupa Muda Wako Thamani Basi Na Muda Wako Utakua Na Thamani Hivyohivyo...
5.Binadamu Wengi Tunaishi Bila Kujua Kusudi Letu La Kuwepo Duniani Yaani Upo Ila Hujui Kusudi Lako Ni Lipi Mwishowe Tunaishi Kwa Kufata Mawazo Ya Wengine Inaweza Ikawa Wazazi Au Ndugu Au Marafiki Au Walimu Au Jamii Iliyokuzunguka Na Kuacha Kufata Kile Kilichopo Ndani Yako...