NakaziaKuishi ni uongo ila kufa ni hakika
Ccm ni mashetaniSalaam.,
Walimwengu wanasema "experience is the best teacher" , kiukweli hawakudanganya au kukosea.
Kila siku unapoamka unajifunza mapya au una update uliyokuwa unayajua nusu.
Muda mwingine unagundua ulilokuwa unalijua sio jibu sahihi la swali. Kumbe hukuwa-exposed na mazingira ndiyo maana akili yako ikadhani ulikuwa na jibu sahihi.
Binafsi kwa miongo kadhaa nimejifunza mengi saana.
1. Waajiri hawaangalii kiwango cha taaluma ya mtu zaidi ya wanavyoangalia tabia ya mtu. Wazungu hapa walisema your attitude determines your altitude. Vijana kwa waajiri taaluma ni kigezo ila sio muhimu saana kama ilivyo tabia. Kikubwa ni attitude .
2. Utajua unakipaji cha kitu fulani pale ambapo utaanza kukifanya. Mfano: mwalimu wa hesabu atajua anaweza kuifundisha Sayansi vizuri pale ambapo atajaribu kufundisha Sayansi. Maisha yapo hivi. Nimejionea mwenyewe. Wengi wetu tunaogopa kuanza kufanya mambo kwasababu tunadhani hatuwezi kuyafanya. Nakuhakikishia anza utajastaajabu.
.........
duna nomaSalaam.,

Waturudishie hata chenchi aisee😄Nimejifunza kuna genge la wahuni limeuza akili zetu watanzania
My experienceNimerealise kuwa ukiwa kwenye your lowest ndipo utajua maana halisi ya maisha
Buddy what does this mean.... feels like its about contentment.... correct me...always pick low hanging fruits
Kula 5 mkuu..Trust no one, fight for your own survival👊👊
Mimi hili nimejifunza tofauti.Bahati ndio kila kitu Duniani,kuna watu wanazaliwa na bahati ya kuwa na akili nyingi,wengine kuzaliwa na bahati ya kuzaliwa kwa matajiri,bahati ya kuja kupata vyeo vikubwa,bahati ya kufanikiwa kibiashara,bahati ya kupata mahusiano mazuri,bahati ya kuwa,bahati ya kuwa na afya njema na bahati ya kuwa familia nzuri.
Kila kitu ni Bahati.