Ukiona wamekuwa wengi kwako hawana kazi anzisha Banda la kuku na Mbuzi mmoja asubuhi anakusanya mayai ya kuku mwingine anashinda anakwenda kuchunga Mbuzi.Umefanikiwa kujijengea Nyumba Yako nakigari kidogo tu, unaamua sasa uanze kujiwekeza zaidi kwenye BIASHARA namambo mengine kipato kikue,
Upande wapili ndugu wa upande wako naukweni wanaanza kujazana ndani yanyumba Yako, nibora wakutembelee nakutoka lakini wanageuza makazi Yani mpaka binadamu wako[emoji23] nae anakomaa hapo hapo..
Hao wote hawana kazi inabid uwalishe nakuwavesha sasa huo utajiri utaupata kweli sio kuishia kupata hela yakula tu
Uliwezaje epuka hali hii, nami nimshauri uncle wangu hapa..
Ukiwakataa wanakususa ukoo mzima wanasema wewe ni mchoyo 😂😂Hizi mambo jamii ijitathimi upya 😂
Ni wingi wa watu na wafuasiUtajiri sio wingi wa pesa, utajiri ni namna ya kujua kutatua changamoto za watu zikunufaishe.
Kadri unavyozidi kumanage matatizo ya watu wengi ndivyo unavyozidi kuwa Tajiri
Utaanza na familia yako, kisha watu wengine wasiokuhusu watakutegemea utatue matatizo yao ndio uwe tajiri zaidi
Mfano Samia anatatua matatizo ya watu milioni 60 ukiwemo wewe na hao ndigu zako yeye ndiyo kakupa hiyo ajira
Bakhresa anatatua matatizo ya watu zaidi ya milioni 90 anawafatia ngano Canada anawaletea Tz, Rwanda, uganda n.k
Anawasaidia watu wa Dar na mikoani wasioweza kwenda uwanjani waangalie mpira kwenye TV
Wewe unashindwa kutatua shida ya ndugu zako wanne utakuaje Tajiri, balozi wa nyumba kumi mbubge au waziri?
Tunasafari ndefu
Mbaya sana hiiAanzishe ratiba ya mfungo mlo ni mmoja tu kwa siku tena usiku halafu sio wa kushiba.
Hii ishu anaepitia anko mmoja hivi kiukwel ukimtembelea unamuonea huruma,Utajiri sio mpaka uwe na Mali zinzoonekana hata kukaa na ndugu zako wanakula na kunywa huo pia ni utajiri wa roho mkuu .
Maisha mnayachulia serious mpaka yanakosa ladha.
Ushauri mzuriUkiona wamekuwa wengi kwako hawana kazi anzisha Banda la kuku na Mbuzi mmoja asubuhi anakusanya mayai ya kuku mwingine anashinda anakwenda kuchunga Mbuzi.
Unaanzisha na bustani ya mbogamboga mmoja kazi yake kumwagilia bustani na kusupply mchicha na nyanya chungu kwa majirani.
Unapata labour force bila kulipia win win situation.
Watu wenye muda usio na matumizi huwa hawafukuzwi unatafuta tu matumizi ya muda wao.
Huyo Uncle wako ndio wewe.Uliwezaje epuka hali hii, nami nimshauri uncle wangu wangu hapa..
Atumie hayo anayoyaona kua ni matatizo kwake kua Fursa.Mtoa mada unataka kuwa richest or wealthiest ?
Ikiwa unataka kuwa richest waweza kukaa peke yako na ukawakataa ndugu kwakuwa being richest ni kuwa na hela nyingi kuliko mali Ila kuwa wealthiest ni kuwa na Mali nyingi kuliko hela (Currency)
Mali nyingi zinaambatana na kukaa na watu ambao unaweza kuwageuza Kama rasilimali Kama kuwaweka katika mashamba , kusimamia buashara n.k