Kwa mjazano huu wa ndugu, sahau kabisa kuitwa tajiri

Wengine si watafutajii
Niliwahi kaa na na mtu simtafutaji kwa biashara yangu ya ziada nikamuweka yy asikae idle alikuwa na mwajiriwa mmoja..gues what mwajiriwa Alikuwa commited kuliko yeye mwanafamilia anatengeneza loss kila siku ,hesabu hazieleweki akiuza mauzo haandiki pesa anabetia ili mkeka ukitiki arudishie..sikatai kuna wageni vichefuchefu alitia loss akaona aibu akaomba kuondoka mwenyew..wabaya wacheche wasikufanye ukafa Moyo kusaidia wengi walio wema..
 
Upo sahihi kabsa
 
Umefanikiwa kujijengea Nyumba Yako nakigari kidogo tu, unaamua sasa uanze kujiwekeza zaidi kwenye BIASHARA namambo mengine kipato kikue,

Upande wapili ndugu wa upande wako naukweni wanaanza kujazana ndani yanyumba Yako, nibora wakutembelee nakutoka lakini wanageuza makazi Yani mpaka binadamu wako😂 nae anakomaa hapo hapo..

Hao wote hawana kazi inabid uwalishe nakuwavesha sasa huo utajiri utaupata kweli sio kuishia kupata hela yakula tu

Uliwezaje epuka hali hii, nami nimshauri uncle wangu hapa..
Hapo kazi ipo inatakiwa ufanye tukio mke wako akasilike halafu akija juu ndio sasa utowe msimamo wako. Ila kunahatari ya ndowa kuvujika kwahiyo unatakiwa upime hasara ya ndoa kuvujkq na hasara ya kubeba mzigo usio kuwa wako?
 
Aise changamoto sana
 
Hii inaumiza sana hasa wakazi wa Dar.unakuta ndiyo umeanza kujitafuta tayari unaanzia kutembelewa na wageni Kila siku na wanakaa muda mrefu na hawana hata akili ya kujiongeza kuhusu ugumu wa maisha jijini dar.
 
Utajiri sio wingi wa pesa, utajiri ni namna ya kujua kutatua changamoto za watu zikunufaishe.

Kadri unavyozidi kumanage matatizo ya watu wengi ndivyo unavyozidi kuwa Tajiri

Utaanza na familia yako, kisha watu wengine wasiokuhusu watakutegemea utatue matatizo yao ndio uwe tajiri zaidi

Mfano Samia anatatua matatizo ya watu milioni 60 ukiwemo wewe na hao ndigu zako yeye ndiyo kakupa hiyo ajira

Bakhresa anatatua matatizo ya watu zaidi ya milioni 90 anawafatia ngano Canada anawaletea Tz, Rwanda, uganda n.k

Anawasaidia watu wa Dar na mikoani wasioweza kwenda uwanjani waangalie mpira kwenye TV

Wewe unashindwa kutatua shida ya ndugu zako wanne utakuaje Tajiri, balozi wa nyumba kumi mbubge au waziri au Raisi?

Changamoto au matatizo ni kitu kizuri vitakuletea stress na kukukomaza akili ili uvitatue ukue zaidi uache historia na jina watu wakukumbuke kwenye ukoo wako nchi nzima, afrika au dunia yote
Situation ya mtoa mada na hii uliyoitoa wewe ni vitu viwili tofauti, Familia inahitaji pesa na support.

Nazani mtoa mada unge support watu kadhaa kwenye huo ukoo ambao nao wata support wana familia wengine, Hii ni kama una uwezo.

Kama hauna uwezo basi wachane tu kila mtu akafie kivyake😎
 
Baba yangu alikuwa mkarimu mpaka ikawa shida. Nakumbuka nyumbani kwetu tulikuwaga idadi ya watu inafika 27. just imagine, ndugu ni wengi mpaka basi. Yaani watoto mnalala chini kwa sababu wageni ni wengi..

Unakuta mwanamke katiwa mimba huko ni ndugu yetu anakuja na mimba yake anazalia kwetu na analea mtoto wake hapo hapo kwetu baba yangu hasemi chochote. Yani atamuhudmia huyo mwanamke na mwanae utafikiri yeye ndio baba.

Nilipofika form six nikawa mkali, hakuna watu kuja nyumbani kukaa tu...mzee wangu alishaanza kuzeeka akawa ananiangalia tu lakini tulipunguza idadi ya wakaaji wasio na kazi..
Bila shaka baba ako alikuwa tajiri
 
Hii huwa imekaaa kinadharia sana ..au laaa wakatae mapema kabla hawajafunga safari kuja kwako ya nn kuwalimisha na ww hulimi?unadhani kwao hakuna mashamba mkuu?yani utafute shamba kwa ajili ya wageni,au ufuge kuku kwa ajili ya wageni wakiondoka itakuaje?
Hapo nazungumzia kwa mtu wa kilimo,Kama ulikuwa na heka 3 watu wakaongezeka nyumbani unaongeza ata heka 1.
 
Umefanikiwa kujijengea Nyumba Yako nakigari kidogo tu, unaamua sasa uanze kujiwekeza zaidi kwenye BIASHARA namambo mengine kipato kikue,

Upande wapili ndugu wa upande wako naukweni wanaanza kujazana ndani yanyumba Yako, nibora wakutembelee nakutoka lakini wanageuza makazi Yani mpaka binadamu wako😂 nae anakomaa hapo hapo..

Hao wote hawana kazi inabid uwalishe nakuwavesha sasa huo utajiri utaupata kweli sio kuishia kupata hela yakula tu

Uliwezaje epuka hali hii, nami nimshauri uncle wangu hapa..
Tafuta shamba la kulima ufuge na ng'ombe uwapangie zamu ya kuchunga au kukata nyasi.
 
Utajiri sio wingi wa pesa, utajiri ni namna ya kujua kutatua changamoto za watu zikunufaishe.

Kadri unavyozidi kumanage matatizo ya watu wengi ndivyo unavyozidi kuwa Tajiri

Utaanza na familia yako, kisha watu wengine wasiokuhusu watakutegemea utatue matatizo yao ndio uwe tajiri zaidi

Mfano Samia anatatua matatizo ya watu milioni 60 ukiwemo wewe na hao ndigu zako yeye ndiyo kakupa hiyo ajira

Bakhresa anatatua matatizo ya watu zaidi ya milioni 90 anawafatia ngano Canada anawaletea Tz, Rwanda, uganda n.k

Anawasaidia watu wa Dar na mikoani wasioweza kwenda uwanjani waangalie mpira kwenye TV

Wewe unashindwa kutatua shida ya ndugu zako wanne utakuaje Tajiri, balozi wa nyumba kumi mbubge au waziri au Raisi?

Changamoto au matatizo ni kitu kizuri vitakuletea stress na kukukomaza akili ili uvitatue ukue zaidi uache historia na jina watu wakukumbuke kwenye ukoo wako nchi nzima, afrika au dunia yote
WAkati huo Bill gate mmoja wa matajiri ameshindwa kum handle mke wake mmoja tuuu. Je,wake wanne kama sisi wakina Bakari Konzi ataweza ?
 
Ameonyeshaukomavu wa akili huwezi kumlazimisha mtu akupende,

Hakumfukuza mtu
 
Utajiri sio wingi wa pesa, utajiri ni namna ya kujua kutatua changamoto za watu zikunufaishe.

Kadri unavyozidi kumanage matatizo ya watu wengi ndivyo unavyozidi kuwa Tajiri

Utaanza na familia yako, kisha watu wengine wasiokuhusu watakutegemea utatue matatizo yao ndio uwe tajiri zaidi

Mfano Samia anatatua matatizo ya watu milioni 60 ukiwemo wewe na hao ndigu zako yeye ndiyo kakupa hiyo ajira

Bakhresa anatatua matatizo ya watu zaidi ya milioni 90 anawafatia ngano Canada anawaletea Tz, Rwanda, uganda n.k

Anawasaidia watu wa Dar na mikoani wasioweza kwenda uwanjani waangalie mpira kwenye TV

Wewe unashindwa kutatua shida ya ndugu zako wanne utakuaje Tajiri, balozi wa nyumba kumi mbubge au waziri au Raisi?

Changamoto au matatizo ni kitu kizuri vitakuletea stress na kukukomaza akili ili uvitatue ukue zaidi uache historia na jina watu wakukumbuke kwenye ukoo wako nchi nzima, afrika au dunia yote
Naunga mkono hoja
 
Nunua mashamba walime, Nunua mashine wafyatue tofali, Fuga kuku wahudumie, fuga ng’ombe wahudumie, Kwa ufupi wazalishe mali.

Sisi kwetu kijijini kuna watu kibao, wengine si ndugu wanakuja wanakaa wakikua wanaoa wanahama (nadhani wanakuwa wamepata vihela) wanawake wanaolewa ila wakati wa kulima wanalima, wa kuvuna hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom