ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,860
Unajua maana ya black market au umejiandikia tu!!??Black market hiyo Yaani hapo sahau kabisa 🙌😂
Unajua maana ya black market au umejiandikia tu!!??Black market hiyo Yaani hapo sahau kabisa 🙌😂
Nikufanya biashara ambazo ni illegal like money laundering Human trafficking and the likesUnajua maana ya black market au umejiandikia tu!!??
Wewe sio Tu umetoa elimu Bali umetoa Msaada Kwa vijana wa sikuhizi wasiojua kitu na wenye Akili mgando...Hii comment yako ni zaidi ya darasaUtajiri sio wingi wa pesa, utajiri ni namna ya kujua kutatua changamoto za watu zikunufaishe.
Kadri unavyozidi kumanage matatizo ya watu wengi ndivyo unavyozidi kuwa Tajiri
Utaanza na familia yako, kisha watu wengine wasiokuhusu watakutegemea utatue matatizo yao ndio uwe tajiri zaidi
Mfano Samia anatatua matatizo ya watu milioni 60 ukiwemo wewe na hao ndigu zako yeye ndiyo kakupa hiyo ajira
Bakhresa anatatua matatizo ya watu zaidi ya milioni 90 anawafatia ngano Canada anawaletea Tz, Rwanda, uganda n.k
Anawasaidia watu wa Dar na mikoani wasioweza kwenda uwanjani waangalie mpira kwenye TV
Wewe unashindwa kutatua shida ya ndugu zako wanne utakuaje Tajiri, balozi wa nyumba kumi mbubge au waziri au Raisi?
Changamoto au matatizo ni kitu kizuri vitakuletea stress na kukukomaza akili ili uvitatue ukue zaidi uache historia na jina watu wakukumbuke kwenye ukoo wako nchi nzima, afrika au dunia yote
Shemeji ndo umekuja kunianika JF....Umefanikiwa kujijengea Nyumba Yako nakigari kidogo tu, unaamua sasa uanze kujiwekeza zaidi kwenye BIASHARA namambo mengine kipato kikue,
Upande wapili ndugu wa upande wako naukweni wanaanza kujazana ndani yanyumba Yako, nibora wakutembelee nakutoka lakini wanageuza makazi Yani mpaka binadamu wako😂 nae anakomaa hapo hapo..
Hao wote hawana kazi inabid uwalishe nakuwavesha sasa huo utajiri utaupata kweli sio kuishia kupata hela yakula tu
Uliwezaje epuka hali hii, nami nimshauri uncle wangu hapa..
Watoto wako ndio familia YakoNaam Wana andamana eti 🤣🤣
Utadhani kuwa walikusaidia kutafuta
alaf wengi wao wakiume wanaingia gym kubeba vyuma,na wanawake wanaanza jogging,,mchele kwa siku kilo 15,,nyama kilo 10!!Umefanikiwa kujijengea Nyumba Yako nakigari kidogo tu, unaamua sasa uanze kujiwekeza zaidi kwenye BIASHARA namambo mengine kipato kikue,
Upande wapili ndugu wa upande wako naukweni wanaanza kujazana ndani yanyumba Yako, nibora wakutembelee nakutoka lakini wanageuza makazi Yani mpaka binadamu wako😂 nae anakomaa hapo hapo..
Hao wote hawana kazi inabid uwalishe nakuwavesha sasa huo utajiri utaupata kweli sio kuishia kupata hela yakula tu
Uliwezaje epuka hali hii, nami nimshauri uncle wangu hapa..
kaoe kwa akina marehemu NDUGAI uone kazi!!Hhha 😁we acha tu baada huwaze maisha Yako unawaza yakwao
Na wao watajihisi ni part ya familia na wanahusika kwenye uzalishaji utabaini na wanaofaa kuaminika kwenye miradi yako mingine serious.Achukue ushauri huu,kama ni wavivu watajifukuza wenyewe!!
Hakuna haja ya kuwafukuza,anzisha bustani ya mbogamboga matuta ya kutosha,yamwagiliwe asubuh na jioni,pembeni kuna mabanda ya kuku yasafishwe asubuh na kuku wapewe chakula,kama ndugu ni wengi ongeza na Banda la ng'ombe WA kisasa anatakiwa kulishwa na kukamuliwa asubuh na jioni na maziwa yasambazwe kwa wateja[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
Hapo hela inayopatikana watajilisha na kujihudumia,wavivu watajifukuza wenyewe!!
Mara nyingi wanajaaga wa upande wa mume ..wageni 5 mpaka 6 na wanakaa si chini ya miezi 6 ila upande wa mke akiomba hata ndugu yake kuja kusalimia baba mjengo anatia ngumu ila ndugu zake ruksa..baadhi ya wanaume wabinafsi sanaHii ishu anaepitia anko mmoja hivi kiukwel ukimtembelea unamuonea huruma,
Chakushangaza Kuna stori kanipa Kua mtu wake wakaribu kajenga kwao kimya kimya nakapewa taarifa nyumba ishaisha kisa tu Kua alikua aboreshi nyumba yao hivyo akaonekana nimbishi au mgumu kufanya maboreshe..
Kasahau kama ndugu wauoande wake wamejazana kwake
Utajiri ni kuwahudumia ndugu wanaokutegemea hasa kuwapatia mahitaji muhimu. Huo ndyo utajiri,.. wewe ni utajiri upi unaozungumzia? wa kutangazwa?Umefanikiwa kujijengea Nyumba Yako nakigari kidogo tu, unaamua sasa uanze kujiwekeza zaidi kwenye BIASHARA namambo mengine kipato kikue,
Upande wapili ndugu wa upande wako naukweni wanaanza kujazana ndani yanyumba Yako, nibora wakutembelee nakutoka lakini wanageuza makazi Yani mpaka binadamu wako😂 nae anakomaa hapo hapo..
Hao wote hawana kazi inabid uwalishe nakuwavesha sasa huo utajiri utaupata kweli sio kuishia kupata hela yakula tu
Uliwezaje epuka hali hii, nami nimshauri uncle wangu hapa..
AWafungulie hata genge la chakula wanaenda kumuuzia ,waamke saa 11/10 asubuhi wakapike chapati vitumbua nk.Utajiri sio wingi wa pesa, utajiri ni namna ya kujua kutatua changamoto za watu zikunufaishe.
Kadri unavyozidi kumanage matatizo ya watu wengi ndivyo unavyozidi kuwa Tajiri
Utaanza na familia yako, kisha watu wengine wasiokuhusu watakutegemea utatue matatizo yao ndio uwe tajiri zaidi
Mfano Samia anatatua matatizo ya watu milioni 60 ukiwemo wewe na hao ndigu zako yeye ndiyo kakupa hiyo ajira
Bakhresa anatatua matatizo ya watu zaidi ya milioni 90 anawafatia ngano Canada anawaletea Tz, Rwanda, uganda n.k
Anawasaidia watu wa Dar na mikoani wasioweza kwenda uwanjani waangalie mpira kwenye TV
Wewe unashindwa kutatua shida ya ndugu zako wanne utakuaje Tajiri, balozi wa nyumba kumi mbubge au waziri au Raisi?
Changamoto au matatizo ni kitu kizuri vitakuletea stress na kukukomaza akili ili uvitatue ukue zaidi uache historia na jina watu wakukumbuke kwenye ukoo wako nchi nzima, afrika au dunia yote
Upande wapili ndugu wa upande wako naukweni wanaanza kujazana ndani yanyumba Yako