Kwa mjazano huu wa ndugu, sahau kabisa kuitwa tajiri

Kwa mjazano huu wa ndugu, sahau kabisa kuitwa tajiri

Umefanikiwa kujijengea Nyumba Yako nakigari kidogo tu, unaamua sasa uanze kujiwekeza zaidi kwenye BIASHARA namambo mengine kipato kikue,

Upande wapili ndugu wa upande wako naukweni wanaanza kujazana ndani yanyumba Yako, nibora wakutembelee nakutoka lakini wanageuza makazi Yani mpaka binadamu wako😂 nae anakomaa hapo hapo..

Hao wote hawana kazi inabid uwalishe nakuwavesha sasa huo utajiri utaupata kweli sio kuishia kupata hela yakula tu

Uliwezaje epuka hali hii, nami nimshauri uncle wangu hapa..
ukiwa tajiri ndo inakuwaje sasa na ndugu umewatenga
 
Hzo ni fursa kama mimi apo naanza ufugaji na kilimo nawapo somo hao ndugu....kazi kazi baada ya miaka mitano kila mtu atatoka na mtaji wake wakajiendeleze na mimi watakuwa wameslnisaidia kunipa backup
 
Mkuu Kipato kizuri kinaraha yake
Kipato kizuri raha yake ufurahi na wengine sio ufurahi peke yako.

Umewahi kuona matajiri wanavyoteseka na mapesa mengi?

Pata kiasi kisha furahia na watu wako utazeeka na furaha na hata mauti yakija utasema asante.
 
Saizi mambo yamebadilika hata bei ya sukari iko juu, kwahiyo style ile Elimu yakusave pesa haiwez fanya kazi
Ni kweli ila isikufanye uwe mfungwa kwenye nyumba yako mwenyewe,anaeweza kusaidika mbali msaidie akiwa hukohuko hii itakupunguzia hata magomvi
 
Sometimes maisha ndio yanabana tena mjini hali imekuwa ngumu kujaza watu wazima wasio na kazi ni tatizo, kusengenya na kupiga simu kijijini kueleza mabaya yako
 
Unatutumikisha alafu hutulipi. Alafu unaringa na tupesa twako. Alafu kigari chenyewe Vita je ungekuwa na walau Harriya anaconda. Alafu mkeo anakuendesha. Mchango wangu utatika hutoniona hapa na sitaki mazoea
Humo humo 🤣🤣🤣

Iliwahi nitokea hiyo Sinto sahau kudeal na ndugu ni changamoto Moja nzito sana toxic yake sio mchezo
 
Utajiri sio wingi wa pesa, utajiri ni namna ya kujua kutatua changamoto za watu zikunufaishe.

Kadri unavyozidi kumanage matatizo ya watu wengi ndivyo unavyozidi kuwa Tajiri

Utaanza na familia yako, kisha watu wengine wasiokuhusu watakutegemea utatue matatizo yao ndio uwe tajiri zaidi

Mfano Samia anatatua matatizo ya watu milioni 60 ukiwemo wewe na hao ndigu zako yeye ndiyo kakupa hiyo ajira

Bakhresa anatatua matatizo ya watu zaidi ya milioni 90 anawafatia ngano Canada anawaletea Tz, Rwanda, uganda n.k


Anawasaidia watu wa Dar na mikoani wasioweza kwenda uwanjani waangalie mpira kwenye TV

Wewe unashindwa kutatua shida ya ndugu zako wanne utakuaje Tajiri, balozi wa nyumba kumi mbubge au waziri au Raisi?

Changamoto au matatizo ni kitu kizuri vitakuletea stress na kukukomaza akili ili uvitatue ukue zaidi uache historia na jina watu wakukumbuke kwenye ukoo wako nchi nzima, afrika au dunia yote
Naunga mkono hoja
 
Kipato kizuri raha yake ufurahi na wengine sio ufurahi peke yako.

Umewahi kuona matajiri wanavyoteseka na mapesa mengi?

Pata kiasi kisha furahia na watu wako utazeeka na furaha na hata mauti yakija utasema asante.
Hiyo sio furaha bali nikudidimizwa kiuchumi mayb wasubiri ujiwekeze zaid lakin mwanzo tu lazima ikupe shida,
Huwez kua nafuraha
 
sometimes inabidi umsidie mzee majukumu yake hasa ukiona analegalega. haiwezekani nyumba inajaa utafikiri guest house. Halafu hao ndugu hawana hata muelekeo hawana kazi ni shida
Ni sahihi mkuu ila waAfrika hilo hatuelewi.
Kijana ukisimama unaweza hata kupewa laana na ukoo.
Mie imenikuta hiyo,hadi mzee aliona isiwe tabu kupeana laana za buku jero,tuliacha nyumba na kwenda kupanga kisa ndugu. Nilikua mwaka wa pili chuo.
 
Utajiri sio wingi wa pesa, utajiri ni namna ya kujua kutatua changamoto za watu zikunufaishe.

Kadri unavyozidi kumanage matatizo ya watu wengi ndivyo unavyozidi kuwa Tajiri

Utaanza na familia yako, kisha watu wengine wasiokuhusu watakutegemea utatue matatizo yao ndio uwe tajiri zaidi

Mfano Samia anatatua matatizo ya watu milioni 60 ukiwemo wewe na hao ndigu zako yeye ndiyo kakupa hiyo ajira

Bakhresa anatatua matatizo ya watu zaidi ya milioni 90 anawafatia ngano Canada anawaletea Tz, Rwanda, uganda n.k


Anawasaidia watu wa Dar na mikoani wasioweza kwenda uwanjani waangalie mpira kwenye TV

Wewe unashindwa kutatua shida ya ndugu zako wanne utakuaje Tajiri, balozi wa nyumba kumi mbubge au waziri au Raisi?

Changamoto au matatizo ni kitu kizuri vitakuletea stress na kukukomaza akili ili uvitatue ukue zaidi uache historia na jina watu wakukumbuke kwenye ukoo wako nchi nzima, afrika au dunia yote
Hizi ndo fikra zangu pia kuhusu kuutafuta utajiri, sio kujikimbikizia wewe mwenyewe mipesa ila ni kutengeneza mfumo wa kuwanufaisha wengine
 
Back
Top Bottom