Doji MD
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,577
- 5,587
- Thread starter
- #81
Ase polen sana unakuta mzee mpaka anashindwa kutoa huduma sahii kwawanae kisa nduguBaba yangu alikuwa mkarimu mpaka ikawa shida. Nakumbuka nyumbani kwetu tulikuwaga idadi ya watu inafika 27. just imagine, ndugu ni wengi mpaka basi. Yaani watoto mnalala chini kwa sababu wageni ni wengi..
Unakuta mwanamke katiwa mimba huko ni ndugu yetu anakuja na mimba yake anazalia kwetu na analea mtoto wake hapo hapo kwetu baba yangu hasemi chochote. Yani atamuhudmia huyo mwanamke na mwanae utafikiri yeye ndio baba.
Nilipofika form six nikawa mkali, hakuna watu kuja nyumbani kukaa tu...mzee wangu alishaanza kuzeeka akawa ananiangalia tu lakini tulipunguza idadi ya wakaaji wasio na kazi..