Niliwahi kaa na na mtu simtafutaji kwa biashara yangu ya ziada nikamuweka yy asikae idle alikuwa na mwajiriwa mmoja..gues what mwajiriwa Alikuwa commited kuliko yeye mwanafamilia anatengeneza loss kila siku ,hesabu hazieleweki akiuza mauzo haandiki pesa anabetia ili mkeka ukitiki arudishie..sikatai kuna wageni vichefuchefu alitia loss akaona aibu akaomba kuondoka mwenyew..wabaya wacheche wasikufanye ukafa Moyo kusaidia wengi walio wema..Wengine si watafutajii
Hii huwa imekaaa kinadharia sana ..au laaa wakatae mapema kabla hawajafunga safari kuja kwako ya nn kuwalimisha na ww hulimi?unadhani kwao hakuna mashamba mkuu?yani utafute shamba kwa ajili ya wageni,au ufuge kuku kwa ajili ya wageni wakiondoka itakuaje?Tafuta mashamba wakalime
Upo sahihi kabsaNiliwahi kaa na na mtu simtafutaji kwa biashara yangu ya ziada nikamuweka yy asikae idle alikuwa na mwajiriwa mmoja..gues what mwajiriwa Alikuwa commited kuliko yeye mwanafamilia anatengeneza loss kila siku ,hesabu hazieleweki akiuza mauzo haandiki pesa anabetia ili mkeka ukitiki arudishie..sikatai kuna wageni vichefuchefu alitia loss akaona aibu akaomba kuondoka mwenyew..wabaya wacheche wasikufanye ukafa Moyo kusaidia wengi walio wema..
Hapo kazi ipo inatakiwa ufanye tukio mke wako akasilike halafu akija juu ndio sasa utowe msimamo wako. Ila kunahatari ya ndowa kuvujika kwahiyo unatakiwa upime hasara ya ndoa kuvujkq na hasara ya kubeba mzigo usio kuwa wako?Umefanikiwa kujijengea Nyumba Yako nakigari kidogo tu, unaamua sasa uanze kujiwekeza zaidi kwenye BIASHARA namambo mengine kipato kikue,
Upande wapili ndugu wa upande wako naukweni wanaanza kujazana ndani yanyumba Yako, nibora wakutembelee nakutoka lakini wanageuza makazi Yani mpaka binadamu wako😂 nae anakomaa hapo hapo..
Hao wote hawana kazi inabid uwalishe nakuwavesha sasa huo utajiri utaupata kweli sio kuishia kupata hela yakula tu
Uliwezaje epuka hali hii, nami nimshauri uncle wangu hapa..
Aise changamoto sanaHapo kazi ipo inatakiwa ufanye tukio mke wako akasilike halafu akija juu ndio sasa utowe msimamo wako. Ila kunahatari ya ndowa kuvujika kwahiyo unatakiwa upime hasara ya ndoa kuvujkq na hasara ya kubeba mzigo usio kuwa wako?
Situation ya mtoa mada na hii uliyoitoa wewe ni vitu viwili tofauti, Familia inahitaji pesa na support.Utajiri sio wingi wa pesa, utajiri ni namna ya kujua kutatua changamoto za watu zikunufaishe.
Kadri unavyozidi kumanage matatizo ya watu wengi ndivyo unavyozidi kuwa Tajiri
Utaanza na familia yako, kisha watu wengine wasiokuhusu watakutegemea utatue matatizo yao ndio uwe tajiri zaidi
Mfano Samia anatatua matatizo ya watu milioni 60 ukiwemo wewe na hao ndigu zako yeye ndiyo kakupa hiyo ajira
Bakhresa anatatua matatizo ya watu zaidi ya milioni 90 anawafatia ngano Canada anawaletea Tz, Rwanda, uganda n.k
Anawasaidia watu wa Dar na mikoani wasioweza kwenda uwanjani waangalie mpira kwenye TV
Wewe unashindwa kutatua shida ya ndugu zako wanne utakuaje Tajiri, balozi wa nyumba kumi mbubge au waziri au Raisi?
Changamoto au matatizo ni kitu kizuri vitakuletea stress na kukukomaza akili ili uvitatue ukue zaidi uache historia na jina watu wakukumbuke kwenye ukoo wako nchi nzima, afrika au dunia yote
Bila shaka baba ako alikuwa tajiriBaba yangu alikuwa mkarimu mpaka ikawa shida. Nakumbuka nyumbani kwetu tulikuwaga idadi ya watu inafika 27. just imagine, ndugu ni wengi mpaka basi. Yaani watoto mnalala chini kwa sababu wageni ni wengi..
Unakuta mwanamke katiwa mimba huko ni ndugu yetu anakuja na mimba yake anazalia kwetu na analea mtoto wake hapo hapo kwetu baba yangu hasemi chochote. Yani atamuhudmia huyo mwanamke na mwanae utafikiri yeye ndio baba.
Nilipofika form six nikawa mkali, hakuna watu kuja nyumbani kukaa tu...mzee wangu alishaanza kuzeeka akawa ananiangalia tu lakini tulipunguza idadi ya wakaaji wasio na kazi..
Hapo nazungumzia kwa mtu wa kilimo,Kama ulikuwa na heka 3 watu wakaongezeka nyumbani unaongeza ata heka 1.Hii huwa imekaaa kinadharia sana ..au laaa wakatae mapema kabla hawajafunga safari kuja kwako ya nn kuwalimisha na ww hulimi?unadhani kwao hakuna mashamba mkuu?yani utafute shamba kwa ajili ya wageni,au ufuge kuku kwa ajili ya wageni wakiondoka itakuaje?
Haopo sawa...nimekumbuka ndugu yangu mmoja alikuwa na hiyo tabia ya kupeleka wageni mashambani alikuwa analima mpunga sio poaHapo nazungumzia kwa mtu wa kilimo,Kama ulikuwa na heka 3 watu wakaongezeka nyumbani unaongeza ata heka 1.
Tafuta shamba la kulima ufuge na ng'ombe uwapangie zamu ya kuchunga au kukata nyasi.Umefanikiwa kujijengea Nyumba Yako nakigari kidogo tu, unaamua sasa uanze kujiwekeza zaidi kwenye BIASHARA namambo mengine kipato kikue,
Upande wapili ndugu wa upande wako naukweni wanaanza kujazana ndani yanyumba Yako, nibora wakutembelee nakutoka lakini wanageuza makazi Yani mpaka binadamu wako😂 nae anakomaa hapo hapo..
Hao wote hawana kazi inabid uwalishe nakuwavesha sasa huo utajiri utaupata kweli sio kuishia kupata hela yakula tu
Uliwezaje epuka hali hii, nami nimshauri uncle wangu hapa..
Alifanya Hivyo wanaacha kujaTafuta shamba la kulima ufuge na ng'ombe uwapangie zamu ya kuchunga au kukata nyasi.
WAkati huo Bill gate mmoja wa matajiri ameshindwa kum handle mke wake mmoja tuuu. Je,wake wanne kama sisi wakina Bakari Konzi ataweza ?Utajiri sio wingi wa pesa, utajiri ni namna ya kujua kutatua changamoto za watu zikunufaishe.
Kadri unavyozidi kumanage matatizo ya watu wengi ndivyo unavyozidi kuwa Tajiri
Utaanza na familia yako, kisha watu wengine wasiokuhusu watakutegemea utatue matatizo yao ndio uwe tajiri zaidi
Mfano Samia anatatua matatizo ya watu milioni 60 ukiwemo wewe na hao ndigu zako yeye ndiyo kakupa hiyo ajira
Bakhresa anatatua matatizo ya watu zaidi ya milioni 90 anawafatia ngano Canada anawaletea Tz, Rwanda, uganda n.k
Anawasaidia watu wa Dar na mikoani wasioweza kwenda uwanjani waangalie mpira kwenye TV
Wewe unashindwa kutatua shida ya ndugu zako wanne utakuaje Tajiri, balozi wa nyumba kumi mbubge au waziri au Raisi?
Changamoto au matatizo ni kitu kizuri vitakuletea stress na kukukomaza akili ili uvitatue ukue zaidi uache historia na jina watu wakukumbuke kwenye ukoo wako nchi nzima, afrika au dunia yote
Ameonyeshaukomavu wa akili huwezi kumlazimisha mtu akupende,WAkati huo Bill gate mmoja wa matajiri ameshindwa kum handle mke wake mmoja tuuu. Je,wake wanne kama sisi wakina Bakari Konzi ataweza ?
Naunga mkono hojaUtajiri sio wingi wa pesa, utajiri ni namna ya kujua kutatua changamoto za watu zikunufaishe.
Kadri unavyozidi kumanage matatizo ya watu wengi ndivyo unavyozidi kuwa Tajiri
Utaanza na familia yako, kisha watu wengine wasiokuhusu watakutegemea utatue matatizo yao ndio uwe tajiri zaidi
Mfano Samia anatatua matatizo ya watu milioni 60 ukiwemo wewe na hao ndigu zako yeye ndiyo kakupa hiyo ajira
Bakhresa anatatua matatizo ya watu zaidi ya milioni 90 anawafatia ngano Canada anawaletea Tz, Rwanda, uganda n.k
Anawasaidia watu wa Dar na mikoani wasioweza kwenda uwanjani waangalie mpira kwenye TV
Wewe unashindwa kutatua shida ya ndugu zako wanne utakuaje Tajiri, balozi wa nyumba kumi mbubge au waziri au Raisi?
Changamoto au matatizo ni kitu kizuri vitakuletea stress na kukukomaza akili ili uvitatue ukue zaidi uache historia na jina watu wakukumbuke kwenye ukoo wako nchi nzima, afrika au dunia yote
Ndugu wanakuwa wanamrahisishia, inakuwa haina haja ya kutafuta vibarua.Haopo sawa...nimekumbuka ndugu yangu mmoja alikuwa na hiyo tabia ya kupeleka wageni mashambani alikuwa analima mpunga sio poa
Kwani kutomfukuza ni issue ?Ameonyeshaukomavu wa akili huwezi kumlazimisha mtu akupende,
Hakumfukuza mtu
WAkati huo Bill gate mmoja wa matajiri ameshindwa kum handle mke wake mmoja tuuu. Je,wake wanne kama sisi wakina Bakari Konzi ataweza ?
Tena imekuwa desturi kwa kisingizio cha ujamaaDependency ratio kwa Waafrika iko juu sana.