OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,562
Pamoja na weakness zetu mkipata wasaa muwashauri hao mnaowaita nyumba ndogo zetu wapunguze kuturoga pia sisi ni watoto wa wanawake wenzao........na ni waume wa wanawake wenzao pia
Hilo nalo neno; mimi napenda approach ya wazungu, mume anakucheat, unachofanya ni kudeal na concsious ya mwanamke mwenzio (nyumba ndogo). Unamfuata kwa upole na kuonesha jinsi gani anaathiri maisha yako na watoto innocent.
(wimbo Jolleen ulioimbwa na Dolly Parton)
Lkn hii ya kushindana,v kwanza inampa jeuri mwanaume (anagombewa); pili huyo other woman inampa sababu ya kuwork hard ili mwanaume asijinasue.
Pamoja na weakness zetu mkipata wasaa muwashauri hao mnaowaita nyumba ndogo zetu wapunguze kuturoga pia sisi ni watoto wa wanawake wenzao........na ni waume wa wanawake wenzao pia
Takehome; Prove the following equation
ukielimisha mwanamke umeelimisha jamii = Ukistarehesha mwanamke umestarehesha jamii
You must be radical feminist. Hapo kwenye red tafadhari uwe makini kujua tofauti kati ya kitu mtu anachoongea na matendo yake halisi. Mara nyingi binadamu hupangilia maneno na matendo kulingana na hadhira inayomzunguka. Inawezekana dad anajua wazi kuwa hampendi hayo matendo, na akijua hicho wala hatakaa aweke wazi matendo yake kwenye familia. Unless utuambie huwa unakuwa naye katika anga zake zote. Pia kuna watu wanauwezo wa kutoa huduma kwa nyumba zote zikalidhika. What we have to know is the the relation between man and women is a social struggle like other social struggles such as class. Na katika hili kumhukumu mwanaume wala si solution kwenu, solutioni ni ninyi wanawake kushikama na kutambua role yenu kwenye society na mkihusisha mbinu za kutokomeza nyumba ndogo, Mimi naona wanaweke wanaokubali kuwa nyumba ndogo ndio waliti na saratani ya umoja wenu. Katika hili I am proud to be a man, mimi nikijua tu kuwa mtu anaiba mke wangu lazima acheze na mguu wa kuku
Nyumba ndogo zinapasua vichwa sana hapa jf, imekuwa ni kansa kwa wanandoa sasa.
Hamna anaewaroga bali huwa mnajiroga wenyewe so akili yenu ndo inatakiwa ifanye kazi sawasawa! Be honest, mnapoendaga /mnapoamua kwenda kwa nyumba ndogo, vichwani mwenu huwa mnaamini nini??