Kwa mlio weka 'Avatar', je?, Inamaana yoyote.??, Kwa nini uliichangua hiyo??

Usichukulie vibaya

Nina rafiki mmefanana sana miili yenu...anajiita kimtu...nimeona avatar nimekumbuka jina
Hahahhahhaahh...au ndio jamaa mmoja iv, nilitumiwa pic yake nafanana nae mwili hadi sura Kwa mbali...japo simfaham lkn....!! Usiogpe
 
Kumbe na yeye Kama wewe eeh
Kama mm tu
Halafu siku ile tupo kwenye semina ya maombi mtumishi akasema wale wanaonzaga maombi halafu shetani anaingilia kati waje mbele tuwaombee

Nikamuona ndg yangu huyo na yy anatoka nilimtazama tu nikajichekea kimoyomoyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…