Kwa mlio weka 'Avatar', je?, Inamaana yoyote.??, Kwa nini uliichangua hiyo??

[emoji23][emoji23][emoji23] ndege joni anafanya kazi ya kusafisha mnapofikiria ni pachafu. Mizoga na masalia mengine yote... japo wengi huchukulia ni mchafu lakini anasaidia kuondoa uchafu na harufu mbaya katika mazingira
 
Na kiongozi bora haogopi kuwa ndege joni. Unabeba lawama za mizoga na uchafu wa kila aina kwa maslahi ya wengi... ila inakuwa kama ndo sifa yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…