Kwa mlio weka 'Avatar', je?, Inamaana yoyote.??, Kwa nini uliichangua hiyo??

Huyo Dada anaitwa Tais Araujo au Preta.Ni actress wa Kibrazil nilimfahamu kwenye Tamthilia ya Shades of sin.Navutiwa sana na muonekano na uigizaji wake.Halafu tunafanana wembamba. [emoji23][emoji23][emoji23]
Kimbaumbau katika ubora wako[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Updated nimesikia namba 1 sasa.
King Khan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…