Kwa mlio weka 'Avatar', je?, Inamaana yoyote.??, Kwa nini uliichangua hiyo??

Kwa mlio weka 'Avatar', je?, Inamaana yoyote.??, Kwa nini uliichangua hiyo??

Huyo Dada anaitwa Tais Araujo au Preta.Ni actress wa Kibrazil nilimfahamu kwenye Tamthilia ya Shades of sin.Navutiwa sana na muonekano na uigizaji wake.Halafu tunafanana wembamba. [emoji23][emoji23][emoji23]
Kimbaumbau katika ubora wako[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huyo kwa avatar ni Shahrukh Khan, king of bollywood. Huwa ananinspire sana. Ukifuatilia story yake alianza chin kabisa bila kubebwa. Juhudi na nidham ndio zimemfanya kuwa muigizaj wa pili kwa utajiri duniani.

Naamin kwenye kila mafanikio kuna siri nyuma yake, siri ya wengi ni juhudi na nidham kwa kile unacho kifanya.
Updated nimesikia namba 1 sasa.
King Khan
IMG_33201821147.jpeg
 
Back
Top Bottom