Kwa mlio weka 'Avatar', je?, Inamaana yoyote.??, Kwa nini uliichangua hiyo??

Simon Adebisi.... kwa wtu walio deep sana kwenye tv shows wanamtambua huyo... tv show flani hivi ambayo ikiweka msingi kwa hizi tv show zote za sasa hivi... jamaa kaplay bonge moja la role humo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…