Kwa Mlioangalia na Kusikia: Hii Video ni ya Kweli au AI?

Kwa Mlioangalia na Kusikia: Hii Video ni ya Kweli au AI?

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15,266
Reaction score
25,555
1000234303.jpg


Humo amesema Europe bei ya mafuta ni Euro elfu sita 6000 kwa lita ambayo kwa Tzs ni milioni 16+

Akaongeza kwa USA bei ya mafuta ni dola elfu 8000 ambayo ni sawa na Tshs 20mil.
 
Mnapokuwa na namba 1 hajui hata hivi vitu basic inasikitisha sana na ni rahisi sana kupigwa as a country!

Kwanza Marekani na Ulaya hawauzi mafuta kwa "Litre" wanauza kwa "Gallon".

Gallon 1 ni sawa Litre 3.8z tuseme Litre 4 tu.

Na kwa Marekani Gallon 1 inauzwa kama Dola 2 tu.
Screenshot_20260408_161804_Chrome.jpg
 
Kwa US mafuta ndiyo yanauzwa kwa Gallons, ila kwa huku ulaya mafuta tunanunua kwa lita kama Tz tu.

Ulaya mafuta ni gharama sana mkuu, Gallon1 inacheza Euro5 hadi 8 kutegemea na sera za nchi au akiba iliyopo.

Huku Denmark bei ya mafuta ni 17 hadi 19 DKK kwa lita kulingana na sehemu uliyopo, sawa na 7,000/= hadi 9000/= Tzs.

Bora US Gallon moja ya mafuta ni kama dollar 3.5 ambapo ukigawanya kwa lita unapata Tzs 2470/= kwa lita1.
 
Mnapokuwa na namba 1 hajui hata hivi vitu basic inasikitisha sana na ni rahisi sana kupigwa as a country!

Kwanza Marekani na Ulaya hawauzi mafuta kwa "Litre" wanauza kwa "Gallon".

Gallon 1 ni sawa Litre 3.8z tuseme Litre 4 tu.

Na kwa Marekani Gallon 1 inauzwa kama Dola 2 tu.
View attachment 3569441
USA wanauza kwa Gallon ila Europe ni kwa Litre. Pia bei ya 1 gallon USA ni zaidi ya $4 sio $2
 
Back
Top Bottom