Kwa Mlioangalia na Kusikia: Hii Video ni ya Kweli au AI?

Kwa Mlioangalia na Kusikia: Hii Video ni ya Kweli au AI?

Mnapokuwa na namba 1 hajui hata hivi vitu basic inasikitisha sana na ni rahisi sana kupigwa as a country!

Kwanza Marekani na Ulaya hawauzi mafuta kwa "Litre" wanauza kwa "Gallon".

Gallon 1 ni sawa Litre 3.8z tuseme Litre 4 tu.

Na kwa Marekani Gallon 1 inauzwa kama Dola 2 tu.
View attachment 3569441
Jamaa aliyesikia akihutubia ananing'ata sikio hapaaliongeza kwa kusema, alikuwa anatumiwa vimemo vya bei duniani kote mpaka afrika hivyo inaonyesha Tanzania bei ya mafuta ipo chini kuliko nchi zote duniani 🤸🏾🏃🏾.
 
Tatizo ni e ya hapa na pale
20260408_170636.jpg

Mnapokuwa na namba 1 hajui hata hivi vitu basic inasikitisha sana na ni rahisi sana kupigwa as a country!

Kwanza Marekani na Ulaya hawauzi mafuta kwa "Litre" wanauza kwa "Gallon".

Gallon 1 ni sawa Litre 3.8z tuseme Litre 4 tu.

Na kwa Marekani Gallon 1 inauzwa kama Dola 2 tu.
View attachment 3569441
 
Ni hivi kipindi cha kampeni kwenye cv yake wakiweka kwamba ana "elimu mbalimbali pakistan"
Kwamba alienda kusoma huko ila alichosoma hakikuwekwa wazi ila waliandika ana elimu mbalimbali pakistan
20250927_121555.jpg
 
Back
Top Bottom