Kwa Mlioangalia na Kusikia: Hii Video ni ya Kweli au AI?

Mnapokuwa na namba 1 hajui hata hivi vitu basic inasikitisha sana na ni rahisi sana kupigwa as a country!

Kwanza Marekani na Ulaya hawauzi mafuta kwa "Litre" wanauza kwa "Gallon".

Gallon 1 ni sawa Litre 3.8z tuseme Litre 4 tu.

Na kwa Marekani Gallon 1 inauzwa kama Dola 2 tu.
 
Kwa US mafuta ndiyo yanauzwa kwa Gallons, ila kwa huku ulaya mafuta tunanunua kwa lita kama Tz tu.

Ulaya mafuta ni gharama sana mkuu, Gallon1 inacheza Euro5 hadi 8 kutegemea na sera za nchi au akiba iliyopo.

Huku Denmark bei ya mafuta ni 17 hadi 19 DKK kwa lita kulingana na sehemu uliyopo, sawa na 7,000/= hadi 9000/= Tzs.

Bora US Gallon moja ya mafuta ni kama dollar 3.5 ambapo ukigawanya kwa lita unapata Tzs 2470/= kwa lita1.
 
USA wanauza kwa Gallon ila Europe ni kwa Litre. Pia bei ya 1 gallon USA ni zaidi ya $4 sio $2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…