Kwa Mlioangalia na Kusikia: Hii Video ni ya Kweli au AI?

Jamaa aliyesikia akihutubia ananing'ata sikio hapaaliongeza kwa kusema, alikuwa anatumiwa vimemo vya bei duniani kote mpaka afrika hivyo inaonyesha Tanzania bei ya mafuta ipo chini kuliko nchi zote duniani πŸ€ΈπŸΎπŸƒπŸΎ.
 
Tatizo ni e ya hapa na pale
 
Ni hivi kipindi cha kampeni kwenye cv yake wakiweka kwamba ana "elimu mbalimbali pakistan"
Kwamba alienda kusoma huko ila alichosoma hakikuwekwa wazi ila waliandika ana elimu mbalimbali pakistan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…