King_Villa
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 575
- 380
Mliopata kazi TRA someni hilo Tangazo tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchujo wa nini sasa hapoo.! Wakati tangazo linajieleza kuitwa kazini.Mchujo bado unaendelea...
Hakunaga mchujo hapo baba, UTUMISHI wakisema umepata ni umepata, waliopata hao tayari ni watumishi wa umma mkuu, huko ni kwenda kujaza details tu na ule kozi, ukishapata barua ya kazi toka utumishi wewe ni mtumishi tayari hayo mambo yashaishaMchujo bado unaendelea...
Waache tu waende HQ, tangazo lipo wazi ni chuo cha kodi HQ watu buku wale wanawaweka wapi?Kuna wengine wanasema wameambiwa tarehe 19 wanahitajika HQ na wengine wanasema tarehe 19 wanahitajika ITA ( chuo cha Kodi)
Hawajaelewa wako frastuated ..
Namaanisha hapo utakuta wapo wanakutwa bila vigezo...Hakunaga mchujo hapo baba, UTUMISHI wakisema umepata ni umepata, waliopata hao tayari ni watumishi wa umma mkuu, huko ni kwenda kujaza details tu na ule kozi, ukishapata barua ya kazi toka utumishi wewe ni mtumishi tayari hayo mambo yashaisha
Vigezo gani chief, vigezo vyote vipo ajira portal pale wanahakiki tu vyeti maana ni sheria imeelekeza hivo, ila mambo yote yashaisha aiseeNamaanisha hapo utakuta wapo wanakutwa bila vigezo...
Namaanisha hapo utakuta wapo wanakutwa bila vigezo...
Hakuna wa kukuchuja hukooMchujo bado unaendelea...
Swali lako ni sawa na hivi kuna faida gani mtu kuajiliwa Serikalini?Hivi Kuna faoda Gani kufanya kazi TRA?
Achana na rushwa.ila kuna saccoss yao hiyo inaitwa TRA saccoss ,ndani ya muda mfupi unakopeshwa 100m kwa riba ndogo tu.hizo faida zingine watajazia wahusika wenyeweHivi Kuna faoda Gani kufanya kazi TRA?
Hyo saccoss isikie tu mzeee mpaka upate pesa jasho limekutokaaaAchana na rushwa.ila kuna saccoss yao hiyo inaitwa TRA saccoss ,ndani ya muda mfupi unakopeshwa 100m kwa riba ndogo tu.hizo faida zingine watajazia wahusika wenyewe
Mbona unawasi wasiNamaanisha hapo utakuta wapo wanakutwa bila vigezo...
Kwa hiyo ndio simpo hivyo? Mbona tuna wadau wapo TRA ni unga unga mwana TU uku kitaa..?Achana na rushwa.ila kuna saccoss yao hiyo inaitwa TRA saccoss ,ndani ya muda mfupi unakopeshwa 100m kwa riba ndogo tu.hizo faida zingine watajazia wahusika wenyewe
Ebnana wee ..em tupe maelezo kidogo.?Hyo saccoss isikie tu mzeee mpaka upate pesa jasho limekutokaaa
Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
Ee ndio ndio Mzeebaba em nipe faida zakeSwali lako ni sawa na hivi kuna faida gani mtu kuajiliwa Serikalini?
Kwa watu walioajiliwa serikalini cha kwanza Mikopo, Cha pili ukifika muda wa kwenda kusoma unaruhusiwa kwenda, cha tatu hata ukipatwa na maradhi ya kukufanya ushindwe kufika ofisini bado utaendelea kulipwa mshahara wako, cha nne ukiwa mtumishi wa serikali kazi yako au wewe mwenyewe inakuwa kama mdhamana mahakamani kwa kesi zenye huhitaji huo, cha tano ukistaafu bado utaendelea kulipwa yale mafao ya kila mwezi, hayo ni baadhi tu ila kuna mengi sana.Ee ndio ndio Mzeebaba em nipe faida zake
Serikali hii ya bongo?? Mbona watumishi wake wengi ni masikini tuKwa watu walioajiliwa serikalini cha kwanza Mikopo, Cha pili ukifika muda wa kwenda kusoma unaruhusiwa kwenda, cha tatu hata ukipatwa na maradhi ya kukufanya ushindwe kufika ofisini bado utaendelea kulipwa mshahara wako, cha nne ukiwa mtumishi wa serikali kazi yako au wewe mwenyewe inakuwa kama mdhamana mahakamani kwa kesi zenye huhitaji huo, cha tano ukistaafu bado utaendelea kulipwa yale mafao ya kila mwezi, hayo ni baadhi tu ila kuna mengi sana.