Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
TRA hakuna maskini mkuuSerikali hii ya bongo?? Mbona watumishi wake wengi ni masikini tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TRA hakuna maskini mkuuSerikali hii ya bongo?? Mbona watumishi wake wengi ni masikini tu
Moshahara yao inaanzia ngapi mkuu?TRA hakuna maskini mkuu
2.3Moshahara yao inaanzia ngapi mkuu?
Huu itakuaa mshahara mkubwa sanaa wa kuanza nao kuliko taasisi nyingine nyingi maana hata tanesco hauanzi na huu daaah vijana wamekula mema ya nchi
Changamoto anazokutana nazo Tax officer ni tofauti na anazokutana nazo mwalimu.hence Tax officer must be paid well.Huu itakuaa mshahara mkubwa sanaa wa kuanza nao kuliko taasisi nyingine nyingi maana hata tanesco hauanzi na huu daaah vijana wamekula mema ya nchi
Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app