Kwa mliobahatika kuitwa kazini TRA someni hili Tangazo na mlielewe

Kuna wengine wanasema wameambiwa tarehe 19 wanahitajika HQ na wengine wanasema tarehe 19 wanahitajika ITA ( chuo cha Kodi)

Hawajaelewa wako frastuated ..
 
Mchujo bado unaendelea...
Hakunaga mchujo hapo baba, UTUMISHI wakisema umepata ni umepata, waliopata hao tayari ni watumishi wa umma mkuu, huko ni kwenda kujaza details tu na ule kozi, ukishapata barua ya kazi toka utumishi wewe ni mtumishi tayari hayo mambo yashaisha
 
Kuna wengine wanasema wameambiwa tarehe 19 wanahitajika HQ na wengine wanasema tarehe 19 wanahitajika ITA ( chuo cha Kodi)

Hawajaelewa wako frastuated ..
Waache tu waende HQ, tangazo lipo wazi ni chuo cha kodi HQ watu buku wale wanawaweka wapi?
 
Hakunaga mchujo hapo baba, UTUMISHI wakisema umepata ni umepata, waliopata hao tayari ni watumishi wa umma mkuu, huko ni kwenda kujaza details tu na ule kozi, ukishapata barua ya kazi toka utumishi wewe ni mtumishi tayari hayo mambo yashaisha
Namaanisha hapo utakuta wapo wanakutwa bila vigezo...
 
Ee ndio ndio Mzeebaba em nipe faida zake
Kwa watu walioajiliwa serikalini cha kwanza Mikopo, Cha pili ukifika muda wa kwenda kusoma unaruhusiwa kwenda, cha tatu hata ukipatwa na maradhi ya kukufanya ushindwe kufika ofisini bado utaendelea kulipwa mshahara wako, cha nne ukiwa mtumishi wa serikali kazi yako au wewe mwenyewe inakuwa kama mdhamana mahakamani kwa kesi zenye huhitaji huo, cha tano ukistaafu bado utaendelea kulipwa yale mafao ya kila mwezi, hayo ni baadhi tu ila kuna mengi sana.
 
Serikali hii ya bongo?? Mbona watumishi wake wengi ni masikini tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…