Mshamba wa kusini JF-Expert Member Joined Jun 30, 2015 Posts 2,857 Reaction score 3,593 Apr 23, 2022 #21 OllaChuga Oc said: Serikali hii ya bongo?? Mbona watumishi wake wengi ni masikini tu Click to expand... TRA hakuna maskini mkuu
OllaChuga Oc said: Serikali hii ya bongo?? Mbona watumishi wake wengi ni masikini tu Click to expand... TRA hakuna maskini mkuu
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,569 Reaction score 24,812 Apr 23, 2022 #22 worldboss said: TRA hakuna maskini mkuu Click to expand... Moshahara yao inaanzia ngapi mkuu?
Mshamba wa kusini JF-Expert Member Joined Jun 30, 2015 Posts 2,857 Reaction score 3,593 Apr 23, 2022 #23 OllaChuga Oc said: Moshahara yao inaanzia ngapi mkuu? Click to expand... 2.3
Mr njaa Senior Member Joined Feb 3, 2022 Posts 166 Reaction score 126 Apr 24, 2022 #24 worldboss said: 2.3 Click to expand... Huu itakuaa mshahara mkubwa sanaa wa kuanza nao kuliko taasisi nyingine nyingi maana hata tanesco hauanzi na huu daaah vijana wamekula mema ya nchi Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
worldboss said: 2.3 Click to expand... Huu itakuaa mshahara mkubwa sanaa wa kuanza nao kuliko taasisi nyingine nyingi maana hata tanesco hauanzi na huu daaah vijana wamekula mema ya nchi Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 10,406 Reaction score 19,892 Apr 24, 2022 #25 Mr njaa said: Huu itakuaa mshahara mkubwa sanaa wa kuanza nao kuliko taasisi nyingine nyingi maana hata tanesco hauanzi na huu daaah vijana wamekula mema ya nchi Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app Click to expand... Changamoto anazokutana nazo Tax officer ni tofauti na anazokutana nazo mwalimu.hence Tax officer must be paid well.
Mr njaa said: Huu itakuaa mshahara mkubwa sanaa wa kuanza nao kuliko taasisi nyingine nyingi maana hata tanesco hauanzi na huu daaah vijana wamekula mema ya nchi Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app Click to expand... Changamoto anazokutana nazo Tax officer ni tofauti na anazokutana nazo mwalimu.hence Tax officer must be paid well.