hahaaa, kwa bvm mademu wanakimbiaHA HA HA duduz,apo BVM watakua watatu kati ya 57!
kuchuna muhimu sana tuu, afu kwa mazimbu wanamix huko huko ila kwa main sijuihahahah kumbe kuna kuchunana tena !! Afu hostel za girls ziko sehemu 1 na boys au?
kama unataka coz yenye madem wengi nenda btm, rural AEA nkBora tuwe nao wakutosha,kuwe na challenges za kutosha!
hahaaa, kwa bvm mademu wanakimbia
kuchuna muhimu sana tuu, afu kwa mazimbu wanamix huko huko ila kwa main sijui
kama unataka coz yenye madem wengi nenda btm, rural AEA nk
Bora tuwe nao wakutosha,kuwe na challenges za kutosha!
kwa wale wote mliochaguliwa SUA kwanza nawapa pongezi kwa kupata admission...kwa kuwasaidia kama wadogo zangu ni kwamba ORIENTATION COURSE inaanza tar 08/10/2012 hivyo mnatakiwa kuripoti chuoni mapema kwa ajili ya registration hii ni kutokana na almanac ya chuo
wapo mfuko wako tuu
kaka nashukuru kwa taarfa zako bt naomba nisaidie little in4mation kuhusu agricultural engineering,
iko poa dogo wewe ukija ndo utafahamu utam wake....karibu sana
sasa ivi na hiyo mikopo ivyozingua, watu wanacheck pochi kwanzaenzi zetu ukiwa sharobaro tu unawapata maana hela haikuwa tatizo wote mkopo 100%
sasa ivi na hiyo mikopo ivyozingua, watu wanacheck pochi kwanza
basi tu naona una informatn za bvm vp ulikuwa unapiga hii kozi au
jamani mie nimekua admitted sua lakini jina langu halipo kwenye website ya sua,inakuwaje hapo wadau?
Hivi nafanyeje kubadilisha chuo kama TCU wamenichagulia chuo ambacho mimi sijakipenda?? Naombeni msaada maaana nimepata Bagamoyo University, ada yao ni kubwa sana, nataka sasa niweze kuhama.