Kwa sasa SUA mambo mengi yameboreshwa,,,,I can see that watu wanulizia hadi bei za misosi,,,tell me akikuambia bei iko juu na ndo ushapata admission, vipi utaghairi,,,nilidhani moja kat ya sababu nyingi zilizotufanya tugome miaka ya nyuma ili boom liongezeke ilikuwa ni kwa sababu ya kupanda kwa gharama za maisha including food....
Kuhusu mavazi - I think you have to be SMART,,,,haitarajiwa sasa wewe umeanza kuutafuta usomi unavaa kama kondakta, mara kata k, mini iliyopitiliza,,,,no pleease...
Karibuni mimi nafanya MSC