Kwa mliofanikiwa ku-root simu zenu tukutane hapa!

Kwa mliofanikiwa ku-root simu zenu tukutane hapa!

Faida pekee ya ku root simu niliyoiona ni kutoa sauti ya camera wakati natumia huawei y530
 
HASARA KUBWA NI: UNAWEZA KUIUA SIMU YAKO MARA 1 NA HUWEZI KUPOKEA UPDATE YA ANDROID NA KUISTALL KWA URAHISI
 
UKIWA NA ANDROID 8 OR 9 NAHISI HAKUNA HAJA YA KUIROOT SIMU YAKO COZ VITU VINGI VINAPATIKANA KWENYE HIZO 8 OR 9, ILA KUNA ANDROID 10 A.K.A ANDROID Q AMBAYO NI LATEST NDIO IMEUWA KILA KITU YAANI UNAI JOY SANA
 
Back
Top Bottom