Joblee
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 1,470
- 1,591
Karibu kwenye ulimwengu wa Nougat
Tafta sabstrutum mkuu CM theme engine ilishakufa weka simu mkao mzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu kwenye ulimwengu wa Nougat
Mkuu joblee naomba link ya kudownload nougat kwenye s3 maana me nlidownload moja eti ina mb 306 nika install via sd card na simu yangu ilikua rooted ila nlipomaliza simu haina network na camera na vitu vingi havifanyi kaziKaribu kwenye ulimwengu wa Nougat
mkuu nitumie link pm nikuje kwa grouop
ANDROID EXPERIENCE✨mkuu nitumie link pm nikuje kwa grouop
Ulipata?Mkuu joblee naomba link ya kudownload nougat kwenye s3 maana me nlidownload moja eti ina mb 306 nika install via sd card na simu yangu ilikua rooted ila nlipomaliza simu haina network na camera na vitu vingi havifanyi kazi
SIMU YAKO ANDROID NGAP NA KAM ANDROID 6.0 MASHIMALLOW UMEUWA sm kijana
Pole sana, hope utapata msaada!Mkuu joblee naomba link ya kudownload nougat kwenye s3 maana me nlidownload moja eti ina mb 306 nika install via sd card na simu yangu ilikua rooted ila nlipomaliza simu haina network na camera na vitu vingi havifanyi kazi
Naanzaje kuinstall nougat mkuuKaribu kwenye ulimwengu wa Nougat
Simple... Aina ya simu mkuu na modelNaanzaje kuinstall nougat mkuu
ni hatari waweza zima simu kabisa isiwake tena be wareNaanzaje kuinstall nougat mkuu
Samsung s3 SCH-I535 running android 4.4.2Simple... Aina ya simu mkuu na model
Ni s3 miniSamsung s3 SCH-I535 running android 4.4.2
YapNi s3 mini
Unatakiwa kuroot kisha weka custom recovery then custom rom, unaweza kupita kwenye forum ya simu yako XDA
Kusema kweli mi bwana kutoot sim ni kama kula chakula siwez kuacha kuroot sim
Kwa sababu mi natumia sana exposes framework kucustomize simu na kufuta bloatware
Pia luckypatcher ili niweze kuhack game
Pia greenify ili niweze kuhibernate app kma sizitumii inasaidia kutunza battery
Pia overclock cpu ya simu yangu
Pia kuflash cyanogen mod ingawa sasa hv natumia oxygen os
Kimsing nikianza kuongelea yote hapa itanichosha na itawachosha na nyinyi
nimefanikiwa kuroot tekno h5 nipe maujanja niweze kuifurahia mkuuKusema kweli mi bwana kutoot sim ni kama kula chakula siwez kuacha kuroot sim
Kwa sababu mi natumia sana exposes framework kucustomize simu na kufuta bloatware
Pia luckypatcher ili niweze kuhack game
Pia greenify ili niweze kuhibernate app kma sizitumii inasaidia kutunza battery
Pia overclock cpu ya simu yangu
Pia kuflash cyanogen mod ingawa sasa hv natumia oxygen os
Kimsing nikianza kuongelea yote hapa itanichosha na itawachosha na nyinyi
Mkuu natumia tecno C5 nineiroot kwa kingroot je naweza kuiupgrade to Marshmallow??Utakuwa hujui nini unafanya mkuu...
Binafsi kumiliki simu ambayo haipo rooted ni sawa na kuishi na mwanamke aise zaa.