Kwa mliofanikiwa ku-root simu zenu tukutane hapa!

Kwa mliofanikiwa ku-root simu zenu tukutane hapa!

Mi nimefanikiwa kuiroot ila tatizo kila mara inaleta notification mpaka inakera naomba msaada wenu kwa anaefahamu jinsi yakufanya ili zisitokee
Notification gani Mkuu?
 
Haina impact haibadili chochote inabaki ileile 3G
Je mwanzo hiyo H+ ilikuewepo?
Maana hiyo simu naifaham vizuri mkuu.
Kama ilikuwepo basi nenda kwenye system updates angalia kama kuna new update, yawezekana huyo ulie mpelekea aliiflash so ikaanza upya, na hizo simu zilitoka hazina hiyo feature, baadae ilikuja kutumwa kama update.
 
Ilikuwepo had 4G,sasa hivi nikienda kwenye system update wananambia is currently updated, hapo ndpo wanaponivuruga
 
Ilikuwepo had 4G,sasa hivi nikienda kwenye system update wananambia is currently updated, hapo ndpo wanaponivuruga
Na una hakika uli uninstall playstore tu.
Lkn kwa ufaham wangu hilo swala ni la hardware zaidi, sasa sijajua shida ni nini hapo, au mtandao na eneo ulipo.
 
Nimefanikiwa ku-root Samsung Galaxy S2 GT-i9100, then nika-install Lineage 14 custom rom, ambayo ni Nougat 7.1.1
 
Attachments

  • N9.png
    N9.png
    37.9 KB · Views: 70
  • N8.png
    N8.png
    8.3 KB · Views: 69
  • N7.png
    N7.png
    7 KB · Views: 74
  • N6.png
    N6.png
    8.4 KB · Views: 71
  • N5.png
    N5.png
    8.3 KB · Views: 73
  • N4.png
    N4.png
    34.6 KB · Views: 74
  • N3.png
    N3.png
    39.9 KB · Views: 65
  • N2.png
    N2.png
    72.8 KB · Views: 70
Back
Top Bottom