Kakashi uchiha
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 604
- 415
Labda kwa sabab you're a dumbassAcha wew nimejaribu uwong haikubali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kwa sabab you're a dumbassAcha wew nimejaribu uwong haikubali
kutumia roooted phone ni raha kwangu.Habari wakuu.
Nimeona nianzishe uzi huu ili tuweze kushirikishana machache kwa wale waliofanikiwa ku-root simu zao.
Kama ilivyo jadi kwa wanaJF kuelimishana na kusaidiana pale inapobidi.
Wengi wetu tumekuwa tukifanya maamuzi mengine kwa kufuata mkumbo na hatupo tiyari kukiri hilo.
Sasa naomba wale wenzetu wajuzi wa mambo ambao mli root simu zenu kwa sababu mnazozijua mtusaidie namna mnavyoweza kufurahia simu zenu tofauti na ilivyokuwa awali, maana ku-root simu bila sababu hilo ndio tatizo.
Please mtusaidie nasi tuliofuata mkumbo pasipokujua faida zake.
Naombeni wataalamu mtusaidie hapa.
-Endapo kuna Apps, Features na mambo mengine kibao basi tunaweza kufaidi baada ya ku-root simu basi tujimwage hapa.
NB : Nimepitia nyuzi nyingi sana kuhusiana na hili suala la rooting lakini hazipo clear, nyingi zinaishia kuelezea namna ya ku-root.
Regards,...
Rahis sana.....unrootMi nimefanikiwa kuiroot ila tatizo kila mara inaleta notification mpaka inakera naomba msaada wenu kwa anaefahamu jinsi yakufanya ili zisitokee
nenda kwenye app setting kisha kuna sehemu ya show notification toa kile kitik(√) hapo itakuwa fresh hata Mimi iliwahi kunisumbuaMi nimefanikiwa kuiroot ila tatizo kila mara inaleta notification mpaka inakera naomba msaada wenu kwa anaefahamu jinsi yakufanya ili zisitokee
Mkuu umewezaje kuongeza android version hapo... nina simu kama hiyo na nimisha iroot ila kuongeza version inanisumbua sana![]()
Kama 6.0 huijui ione hiyo 7.1.1 inaitwa Nougat
Ninaisubiri 7.1.2
Weka custom recovery kisha downkoad rom.... pia jaribu kupitia xdaMkuu umewezaje kuongeza android version hapo... nina simu kama hiyo na nimisha iroot ila kuongeza version inanisumbua sana
Bro ebu nijuze jinsi ya kuchange os kutoka 6 mpks 7 sndroid versionKama kawaida mkuu
Apana mkuu bado sijajaribu. Ila nataka nijaribuUmeshajaribu Kingroot mkuu?
Basi wakuu nimetumia zenu nikachnganya na zangu zoezi nishalimaliza
Khaaaaaa....jamaa weweKusema kweli mi bwana kutoot sim ni kama kula chakula siwez kuacha kuroot sim
Kwa sababu mi natumia sana exposes framework kucustomize simu na kufuta bloatware
Pia luckypatcher ili niweze kuhack game
Pia greenify ili niweze kuhibernate app kma sizitumii inasaidia kutunza battery
Pia overclock cpu ya simu yangu
Pia kuflash cyanogen mod ingawa sasa hv natumia oxygen os
Kimsing nikianza kuongelea yote hapa itanichosha na itawachosha na nyinyi
kupoteza warranty ki vpRooting inakupa access ya "kuifanya" simu yako ya Android uipendavyo kwa upande wa Software including OS..
Ku root simu mkuu inategemea aina ya simu japo kuna apps na softwares ambazo zipo multipurpose kwa ajili ya kuroot aina tofauti za simu..
Unaweza kiroot kwa kutumia 'box' au kwa PC+ software au simu yenyewe kwa kutumia apps na flashable zip files...
Kabla ya kuchukua maamuzi ya ku root simh yako yapaswa kifaham madhara na faida zake...!
Hasara ninazoweza kukutajia mbili kuu ni
1. Kupoteza warranty ya simu yako
2. Kuwa kwenye hatihati ya 'kuua' simu yako..
Binafsi siwezi kukaa na simu isiyorootiwa...
inatakiwa nikutafte mkuu una maujuz meng sanaaKusema kweli mi bwana kutoot sim ni kama kula chakula siwez kuacha kuroot sim
Kwa sababu mi natumia sana exposes framework kucustomize simu na kufuta bloatware
Pia luckypatcher ili niweze kuhack game
Pia greenify ili niweze kuhibernate app kma sizitumii inasaidia kutunza battery
Pia overclock cpu ya simu yangu
Pia kuflash cyanogen mod ingawa sasa hv natumia oxygen os
Kimsing nikianza kuongelea yote hapa itanichosha na itawachosha na nyinyi