Kwa mliofanikiwa ku-root simu zenu tukutane hapa!

Karibu kwenye ulimwengu wa Nougat
b423e8f4bbb416051b6ec26d74cf895b.jpg

Tafta sabstrutum mkuu CM theme engine ilishakufa weka simu mkao mzuri
 
Alihehack game la GTA SAN ANDRES OR VICE CITY
baada ya kuroot simu[emoji137][emoji137][emoji137][emoji119][emoji119][emoji119]aniambie alifanyajeee
 
Karibu kwenye ulimwengu wa Nougat
Mkuu joblee naomba link ya kudownload nougat kwenye s3 maana me nlidownload moja eti ina mb 306 nika install via sd card na simu yangu ilikua rooted ila nlipomaliza simu haina network na camera na vitu vingi havifanyi kazi
 
Ulipata?
 
Pole sana, hope utapata msaada!
 
Mkuu na mimi naomba link la kupata nougat
Simu yangu Ni tecno y6
Nimeiupdrade kwenye mashdawall android 6.0
 
Kusema kweli mi bwana kutoot sim ni kama kula chakula siwez kuacha kuroot sim

Kwa sababu mi natumia sana exposes framework kucustomize simu na kufuta bloatware
Pia luckypatcher ili niweze kuhack game
Pia greenify ili niweze kuhibernate app kma sizitumii inasaidia kutunza battery
Pia overclock cpu ya simu yangu
Pia kuflash cyanogen mod ingawa sasa hv natumia oxygen os

Kimsing nikianza kuongelea yote hapa itanichosha na itawachosha na nyinyi

Una mbwembwe
 
nimefanikiwa kuroot tekno h5 nipe maujanja niweze kuifurahia mkuu
 
Utakuwa hujui nini unafanya mkuu...
Binafsi kumiliki simu ambayo haipo rooted ni sawa na kuishi na mwanamke aise zaa.
Mkuu natumia tecno C5 nineiroot kwa kingroot je naweza kuiupgrade to Marshmallow??
 
Back
Top Bottom