pandagichiza JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 5,248 Reaction score 3,663 Apr 18, 2019 #261 Faida pekee ya ku root simu niliyoiona ni kutoa sauti ya camera wakati natumia huawei y530
Jumong S JF-Expert Member Joined Jul 3, 2013 Posts 7,385 Reaction score 10,659 Apr 18, 2019 #262 Sijawahi kufanya hii kitu
STRUGGLE MAN JF-Expert Member Joined May 31, 2018 Posts 8,633 Reaction score 16,586 Apr 20, 2019 #263 HASARA KUBWA NI: UNAWEZA KUIUA SIMU YAKO MARA 1 NA HUWEZI KUPOKEA UPDATE YA ANDROID NA KUISTALL KWA URAHISI
HASARA KUBWA NI: UNAWEZA KUIUA SIMU YAKO MARA 1 NA HUWEZI KUPOKEA UPDATE YA ANDROID NA KUISTALL KWA URAHISI
STRUGGLE MAN JF-Expert Member Joined May 31, 2018 Posts 8,633 Reaction score 16,586 Apr 20, 2019 #264 UKIWA NA ANDROID 8 OR 9 NAHISI HAKUNA HAJA YA KUIROOT SIMU YAKO COZ VITU VINGI VINAPATIKANA KWENYE HIZO 8 OR 9, ILA KUNA ANDROID 10 A.K.A ANDROID Q AMBAYO NI LATEST NDIO IMEUWA KILA KITU YAANI UNAI JOY SANA
UKIWA NA ANDROID 8 OR 9 NAHISI HAKUNA HAJA YA KUIROOT SIMU YAKO COZ VITU VINGI VINAPATIKANA KWENYE HIZO 8 OR 9, ILA KUNA ANDROID 10 A.K.A ANDROID Q AMBAYO NI LATEST NDIO IMEUWA KILA KITU YAANI UNAI JOY SANA
Fazzah5x Senior Member Joined Aug 10, 2022 Posts 172 Reaction score 243 Feb 9, 2025 #265 Sisi wasakatonge wacha tutizame tu