Ili pump iweze kusukuma maji, inahitaji maji yawe yamejaa kwenye hicho kichwa Cha pump au yawe kwenye depth ndani ya inlet pipe kama mtengeneza pump alivyo recommend.
Iwapo maji yapo chini ya recommended depth, pump itatumia muda mrefu kuweza kuanzia kuvuta maji au isivute kabisa.
Suluhisho; yapo masulihisho kadhaa kwa hili tatizo binafsi natumia mawili kulingana na mazingira...
1. Kuongeza maji kwa juu kama kwenye picha - priming
2. Kuweka check valve chini kwenye inlet pipe ( karibu na level ya maji) hii inafanya bomba liwe na maji muda wote baada ya ku rumia mara ya kwanza. - kumbuka karibu pump zote zina material ya aluminum ambayo inaharibika kwa kukutana na maji muda wote