Mwanamaji
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,905
- 4,518
Kila nikiona jina PAULO huwa namkumbuka "yule mkolomije"Baadaye alifafanua kuwa ni lazima tutoe jina kwenye biblia. Hilo la Clayton halipo kwenye biblia. So cheti kikaandikwa majina yote mawili...Clayton Paulo.
Angetushirikisha, sasa yeye katamka tu lililomjia kichwani kwake.
Paulo?? 🙄🙄 alikosa jina lingine?