Kwa mlioko Ughaibuni tu maeneo husika

Kwa mlioko Ughaibuni tu maeneo husika

Simplicity.

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
2,636
Reaction score
1,662
Hello, Hello,

Mimi kazi yangu ni ya kuzungukazunguka, hadi mwaka jana safari nyingi zilikuwa ni za nchini, kwenda Mbwemkuru, Mlaghahedo, Kindunkuru, etc zilikuwa ni safari za kawaida kikazi.

Nimekuwa nikifanya vizuri katika kampuni yetu, sasa kaniambia hebu vuka mipaka uitangaze kampuni na kutafuta fursa anga za kimataifa. Kwahiyo sisi hizi ruhusa za kwenda nje za Magufuli hazituhusu, maana sisi ni sector binafsi.

Nipo Brussels, wiki ijayo nitandoka kwenda Rome, halafu hapo baadaye nitakuwa na ratiba ya kwenda California. Hebu kama kuna wabongo maeneo hayo hasa wanaJF tushtuane kupitia pm, ili ikiwezekana tukutane kuchat, kubadilishana mawazo na hata kujenga network kwa mashirikiano ya baadaye.

Simplicity.
 
Hello, Hello,...........,


Mimi kazi yangu ni ya kuzungukazunguka, hadi mwaka jana safari nyingi zilikuwa ni za nchini, kwenda Mbwemkuru, Mlaghahedo, Kindunkuru, etc zilikuwa ni safari za kawaida kikazi. Nimekuwa nikifanya vizuri katika kampuni yetu, CEO, sasa kaniambia hebu vuka mipaka uitangaze kampuni na kutafuta fursa anga za kimataifa. Kwahiyo sisi hizi ruhusa za kwenda nje za Magufuli hazituhusu, maana sisi ni sector binafsi.

Nipo Brussels, wiki ijayo nitandoka kwenda Rome, halafu hapo baadaye nitakuwa na ratiba ya kwenda California. Hebu kama kuna wabongo maeneo hayo hasa wanajf tushtuane kupitia pm, ili ikiwezekana tukutane kuchat, kubadilishana mawazo na hata kujenga network kwa mashirikiano ya baadaye.


Simplicity.
BORA KESHO SHULE ZIFUNGULIWE TU!
 
Ungekuwa na ratiba ya kupitia hapa Bavaria ningeku-PM.
 
mbona mnawadis sana wabongo waishio njee, wamekuwa hawafai kiasi hicho?
Huwa natafakari sana pale binadamu mwezako/Mtanzania mwezako anapokuona wewe hufai eti kwa sababu tu unaenda nje ya nchi ama unauliza msaada kwa jamaa zako walioko nje. Mimi niliitwa taperi na matusi ya kila namna baada ya kuleta uzi wa kuzamia kwenda South Africa na Botswana. Ila niligundua Watanzania wengi tuna wivu na chuki za hali ya juu.
 
Huwa natafakari sana pale binadamu mwezako/Mtanzania mwezako anapokuona wewe hufai eti kwa sababu tu unaenda nje ya nchi ama unauliza msaada kwa jamaa zako walioko nje. Mimi niliitwa taperi na matusi ya kila namna baada ya kuleta uzi wa kuzamia kwenda South Africa na Botswana. Ila niligundua Watanzania wengi tuna wivu na chuki za hali ya juu.
Mzee usijal....vipi ulifika?? Mwanaume anaetafuta hatima ya kesho huwa hababaishwi na vitisho....maneno au vifijo.
Mm popote ninapodream ninastrugle kufika.
 
Back
Top Bottom