Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,662
Hello, Hello,
Mimi kazi yangu ni ya kuzungukazunguka, hadi mwaka jana safari nyingi zilikuwa ni za nchini, kwenda Mbwemkuru, Mlaghahedo, Kindunkuru, etc zilikuwa ni safari za kawaida kikazi.
Nimekuwa nikifanya vizuri katika kampuni yetu, sasa kaniambia hebu vuka mipaka uitangaze kampuni na kutafuta fursa anga za kimataifa. Kwahiyo sisi hizi ruhusa za kwenda nje za Magufuli hazituhusu, maana sisi ni sector binafsi.
Nipo Brussels, wiki ijayo nitandoka kwenda Rome, halafu hapo baadaye nitakuwa na ratiba ya kwenda California. Hebu kama kuna wabongo maeneo hayo hasa wanaJF tushtuane kupitia pm, ili ikiwezekana tukutane kuchat, kubadilishana mawazo na hata kujenga network kwa mashirikiano ya baadaye.