Kwa mlioko Ughaibuni tu maeneo husika

Kwa mlioko Ughaibuni tu maeneo husika

Hello, Hello,

Mimi kazi yangu ni ya kuzungukazunguka, hadi mwaka jana safari nyingi zilikuwa ni za nchini, kwenda Mbwemkuru, Mlaghahedo, Kindunkuru, etc zilikuwa ni safari za kawaida kikazi.

Nimekuwa nikifanya vizuri katika kampuni yetu, sasa kaniambia hebu vuka mipaka uitangaze kampuni na kutafuta fursa anga za kimataifa. Kwahiyo sisi hizi ruhusa za kwenda nje za Magufuli hazituhusu, maana sisi ni sector binafsi.

Nipo Brussels, wiki ijayo nitandoka kwenda Rome, halafu hapo baadaye nitakuwa na ratiba ya kwenda California. Hebu kama kuna wabongo maeneo hayo hasa wanaJF tushtuane kupitia pm, ili ikiwezekana tukutane kuchat, kubadilishana mawazo na hata kujenga network kwa mashirikiano ya baadaye.

Simplicity.

Yale ya Jack Cliff na Jux unahusika nayo? Kama ni unahusika, basi naomba kete kadhaa na tukutane transit pale Macau please. Donge nono utapata.
 
Mkuu wewe kweli mbishi, Macau na HongKong si ndio eneo balaa kwa unga na wabongo! Usije ukawa unapiga hiyo mizunguko! Jack Cliff na Jux ndio akina nani?
 
Kama unahusika na zile biashara lazima utakuwa unawajuwa tu. Mtu anasingizia yeye mwanamuziki na hana muziki mzuri wala message nzuri ila mpanga kete gengeni anatumia muziki kama kisingizio.
 
Hello, Hello,

Mimi kazi yangu ni ya kuzungukazunguka, hadi mwaka jana safari nyingi zilikuwa ni za nchini, kwenda Mbwemkuru, Mlaghahedo, Kindunkuru, etc zilikuwa ni safari za kawaida kikazi.

Nimekuwa nikifanya vizuri katika kampuni yetu, sasa kaniambia hebu vuka mipaka uitangaze kampuni na kutafuta fursa anga za kimataifa. Kwahiyo sisi hizi ruhusa za kwenda nje za Magufuli hazituhusu, maana sisi ni sector binafsi.

Nipo Brussels, wiki ijayo nitandoka kwenda Rome, halafu hapo baadaye nitakuwa na ratiba ya kwenda California. Hebu kama kuna wabongo maeneo hayo hasa wanaJF tushtuane kupitia pm, ili ikiwezekana tukutane kuchat, kubadilishana mawazo na hata kujenga network kwa mashirikiano ya baadaye.

Simplicity.
Wewe wa wapi shehe?
 
Back
Top Bottom