Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,662
- Thread starter
- #41
njoo Kandahar huku tuunge network mzee
Mkuu avatar yako inatisha! Halafu duh, nyie ndio hamkawii kujilipua!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
njoo Kandahar huku tuunge network mzee
mimi niko L.A pande za kwa Mtogole huku..
kama vipi ukija nicheki kwa hewa hommie
Hello, Hello,
Mimi kazi yangu ni ya kuzungukazunguka, hadi mwaka jana safari nyingi zilikuwa ni za nchini, kwenda Mbwemkuru, Mlaghahedo, Kindunkuru, etc zilikuwa ni safari za kawaida kikazi.
Nimekuwa nikifanya vizuri katika kampuni yetu, sasa kaniambia hebu vuka mipaka uitangaze kampuni na kutafuta fursa anga za kimataifa. Kwahiyo sisi hizi ruhusa za kwenda nje za Magufuli hazituhusu, maana sisi ni sector binafsi.
Nipo Brussels, wiki ijayo nitandoka kwenda Rome, halafu hapo baadaye nitakuwa na ratiba ya kwenda California. Hebu kama kuna wabongo maeneo hayo hasa wanaJF tushtuane kupitia pm, ili ikiwezekana tukutane kuchat, kubadilishana mawazo na hata kujenga network kwa mashirikiano ya baadaye.
Simplicity.
Yale ya Jack Cliff na Jux unahusika nayo? Kama ni unahusika, basi naomba kete kadhaa na tukutane transit pale Macau please. Donge nono utapata.
Mkuu wewe kweli mbishi, Macau na HongKong si ndio eneo balaa kwa unga na wabongo! Usije ukawa unapiga hiyo mizunguko! Jack Cliff na Jux ndio akina nani?
Wewe wa wapi shehe?Hello, Hello,
Mimi kazi yangu ni ya kuzungukazunguka, hadi mwaka jana safari nyingi zilikuwa ni za nchini, kwenda Mbwemkuru, Mlaghahedo, Kindunkuru, etc zilikuwa ni safari za kawaida kikazi.
Nimekuwa nikifanya vizuri katika kampuni yetu, sasa kaniambia hebu vuka mipaka uitangaze kampuni na kutafuta fursa anga za kimataifa. Kwahiyo sisi hizi ruhusa za kwenda nje za Magufuli hazituhusu, maana sisi ni sector binafsi.
Nipo Brussels, wiki ijayo nitandoka kwenda Rome, halafu hapo baadaye nitakuwa na ratiba ya kwenda California. Hebu kama kuna wabongo maeneo hayo hasa wanaJF tushtuane kupitia pm, ili ikiwezekana tukutane kuchat, kubadilishana mawazo na hata kujenga network kwa mashirikiano ya baadaye.
Simplicity.
hahaha natisha kumbe heeeeMkuu avatar yako inatisha! Halafu duh, nyie ndio hamkawii kujilipua!