Kwa mliooa mademu zetu asee jitahidini kuwakaza vizuri wake zenu! Wanawake wenu wanatukumbuka huku

Gentlemen doesn't kiss and tell.
 
Kaa ukijua na mkeo anawakumbuka Ma Ex zake. Ishu za mapenzi usije jifanya wewe mwamba.
 
Ishu sasa hayo mawasiliano yenu yakifumwa, utavishwa khanga. Mke wa mtu ni mke wa mtu, bora uachane naye tu
 
Hao Malaya na wagonjwa wa akili walioshindikana kupona ndiyo wanawapeni jeuri ya kujiona vidume hadi mnajisifu in public? Itoshe tu kusema wote mmekutana mna hitilafu vichwani.
Hai ni malaya na mahaba wenye matatizo ya akili wakajikuta wanaolewa na mazoba, halafu wewe unajisifu kwa kumshinda mbio mlemavu. Unajisifu kumuangusha aliyelala chini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…