Kwa mliooa mademu zetu asee jitahidini kuwakaza vizuri wake zenu! Wanawake wenu wanatukumbuka huku

Kwa mliooa mademu zetu asee jitahidini kuwakaza vizuri wake zenu! Wanawake wenu wanatukumbuka huku

Huyu manzi alishaolewa but bado ananichek na kunikumbuka jinsi nilivyokuwa namkunja ipasavyo! sasa huko alipoolewa kakuta hakuna kitu dah hizi ndoa hizi 😁😁

Wanangu wa kataa ndoa back up yenu muhimu waliooa wakianza kunishambulia 😁😁



View attachment 3080522
Kawaida Sana hiyo, bro, mtu kumkumbuka mtu wake wa zamani,
Kama anakupenda wewe, kuna vitu anavipenda kwako, muonekano, hulka,pasonality, nk, vile vile hata yule wake wa zamani, kuna vitu alivipenda kwake,
Kwa hiyo kumkumbuka, ni jambo la kawaida,
Uzoefu wangu,unaweza ukakutana na mwanamke, au mwanamume kwa Mala ya kwanza, kumuona, na, akakupagawisha balaa, richa ya, kuwa upo tayari kwenye uhusiano,
Miaka hiyo nipo Mwanza, jirani yangu bishoo mmoja, alikuwa na mke wake, ka mrembo keupeee ka kisukuma, alikuaa anakapelekea moto balaaa, kana lia mpaka kanamtaja jina,
Siku nilipoamia pale, yule Dada, alinizimikia balaa, "kila akiniona, miguu kama unaishi wa nguvu, kanga inataka kuvuka, atajikesha, ataniangalia mpaka nimsalimie, au ni acknowledge kwamba nimemuona"wanawake wanajua hii kitu,
Yule mke wa, jamaa alinependa balaa, kilichomvutia Sana, nilikuwa napatana na mtoto wake wa kike, ka binti ka miaka mitano,
Haijalishi alikuwa anapelekewa moto kiasi gani, lakini alizimia na mnyamwezi! Na uchebe wangu, mwili jumba, athletic physique!
 
Watu wanakushambulia, ila una HOJA kubwa sana. Humu JF kuna watu kila siku wanasisitiza watu waoe wanawake Mabikira, 0km, brand new sealed kabisa. Ili kuepuka majanga kama hayo. Pia kuna kikosi cha Kataa Ndoa na wenyewe huwa wanazungumzia hilo suala.


Kuna aina ya wanawake wana upwiru unaohitaji kupelekewa MOTO kisawasawa angalau masaa matatu au usiku mzima. Aina hiyo ya wanawake wanakua na maex wengi ambao walikuwa wanampelekea MOTO wa 5G sasa wewe mwanaume kibamia wa kimoja chali unalala fofofo..... na kukoroma, ukimuoa mwanamke wa aina hiyo lazima atahitaji huduma ya kupelekewa MOTO kisawasawa, hata mwanaume uwe na hela mara mia kuliko elon musk lazima atachepuka kwa ex ili apelekewe MOTO usiku mzima.





Tafadhali usichoke kutoa taarifa na tahadhari na endelea screenshot ili watu wachukue hatua.



NB: Kama unajijua ni kibamia Oa bikra, kama kimoja chali Oa Bikra, kama unakojoa chini ya lisaa limoja Oa Bikra, kama una fanya mapenzi ya kuhurumia Oa Bikra, kama unafanya mapenzi ya kilokole/kitumishi Oa Bikra.

Usidanganywe na utajiri wako na mamilioni na mabilioni uliyonayo kwenye benki. Kuna sehemu hayahitajiki, hasa kwa aina ya wanawake wanaotaka Kupelekewa MOTO KISAWASAWA USIKU MZIMA





OVA
Asee umenena yote mkuu. Ngoja tujitahidi kwenye ndoa zetu
 
Usijisifu sana, huyo ni Malaya tu hawezi kuacha kukuletea hata akisuguliwa na chupa, hizo ni sababu tu wanatumiaga kuwahadaa mapimbi mchemsho.
 
Back
Top Bottom