Huyu manzi alishaolewa but bado ananichek na kunikumbuka jinsi nilivyokuwa namkunja ipasavyo! sasa huko alipoolewa kakuta hakuna kitu dah hizi ndoa hizi ππ
Wanangu wa kataa ndoa back up yenu muhimu waliooa wakianza kunishambulia ππ
View attachment 3080522
Kawaida Sana hiyo, bro, mtu kumkumbuka mtu wake wa zamani,
Kama anakupenda wewe, kuna vitu anavipenda kwako, muonekano, hulka,pasonality, nk, vile vile hata yule wake wa zamani, kuna vitu alivipenda kwake,
Kwa hiyo kumkumbuka, ni jambo la kawaida,
Uzoefu wangu,unaweza ukakutana na mwanamke, au mwanamume kwa Mala ya kwanza, kumuona, na, akakupagawisha balaa, richa ya, kuwa upo tayari kwenye uhusiano,
Miaka hiyo nipo Mwanza, jirani yangu bishoo mmoja, alikuwa na mke wake, ka mrembo keupeee ka kisukuma, alikuaa anakapelekea moto balaaa, kana lia mpaka kanamtaja jina,
Siku nilipoamia pale, yule Dada, alinizimikia balaa, "kila akiniona, miguu kama unaishi wa nguvu, kanga inataka kuvuka, atajikesha, ataniangalia mpaka nimsalimie, au ni acknowledge kwamba nimemuona"wanawake wanajua hii kitu,
Yule mke wa, jamaa alinependa balaa, kilichomvutia Sana, nilikuwa napatana na mtoto wake wa kike, ka binti ka miaka mitano,
Haijalishi alikuwa anapelekewa moto kiasi gani, lakini alizimia na mnyamwezi! Na uchebe wangu, mwili jumba, athletic physique!