Kwa mliopo Mufindi na kwingineko, nataka nijitose kwenye biashara ya mbao, naombenini ushauri na uzoefu

Kwa mliopo Mufindi na kwingineko, nataka nijitose kwenye biashara ya mbao, naombenini ushauri na uzoefu

😅😅😅nilishakuona kila nachoandika unateseka na mm...nimesema ada .km ada jua nilikua chini ya wazaz!naijuia vilivyo uwanja wa hom ulikua unajaa mbao ...ameifanya sana baba as had leo anauza misitu yake!ha leo tuna banda mfu basihaya!

Usiteseke na usiyemjua!
Manengelo sio kila anayekufuatilia ni mbaya wako wengine ni mashabiki wako na wewe ni kioo chao. Mm huwa napenda sana kama kuna mtu anajifunza na kufaidi njia zangu.
 
Hivi mbona comment yangu ilikua clear kbs..ada!mie sijajisomesha nimesomeshwa!....!relax jaman!..na kwann uteseke na mm
Wengi tulielewa kama ulifanya biashara hiyo na ikakupa ada. Sorry kwa niaba ya wote na turejee kwenye mjadala uliopo kwa meza.
 
Hii biashara nzuri sana mkuu Freed Freed. Fanya kama walivyosema wajumbe wengine, tafuta eneo la kuuzia huko Dom na kwa mtaji huo wengine mizigo tutakuletea hapo hapo utakapokuwa umepata ofisi. Wewe utakuwa unapiga tu cha juu bila kupata usumbufu wa shambani na njiani.
 
Dhurumati wapo sana, matapeli ni wengi pia.
Jamaa, alipata wateja wa cash, wakaja mara ya pili, ya tatu. Ya nne wakamsomesha ili wachukue kwa mali kauli. Baada ya week, akipiga simu inamwambia " mteja hapatikani kwa sasa".
 
Ukweli ndio huo. Hii biashara inahitaji sana umakini ukithubutu kumwamini mtu ushikage mawili kupata au kupoteza.
 
Hakikisha una timber yako Dodoma, shika mafundi wote wa kupaua hapo Dom kila wkend watoe mnadan nyama choma tengeneza kabisa group la whatsup mnakua mnachat Mara kwa Mara. Mizigo itakuja tu yenyewe kuna akina cf wa Mafinga ana uwezo wa kukuletea hata lorry 10 kwa siku. Cha muhimu pigania uwe na power ya kuuza
 
Hakuna,bizness isiyo na vikwazo hakuna tuition ya biashara changamoto ndo shule yenyewe maumivu ya hasara ndo Ada yenyewe.Usiache biashara au kilimo hata kama unapata hasara kutoka kibiashara hakuhitaji miaka ni dakika tu
 
Kwa kuanza aanze na Mimi ni fundi....keshokutwa jumamosi anipeleke msalato nikale nyama kisha aandae mzigo tuu........we uliza tu sembeta basi
Hakikisha una timber yako Dodoma, shika mafundi wote wa kupaua hapo Dom kila wkend watoe mnadan nyama choma tengeneza kabisa group la whatsup mnakua mnachat Mara kwa Mara. Mizigo itakuja tu yenyewe kuna akina cf wa Mafinga ana uwezo wa kukuletea hata lorry 10 kwa siku. Cha muhimu pigania uwe na power ya kuuza
 
Sist
endelea kutoa elimu na ushauri katika yale unayoyajua

ama makelele ya watu
yasikuzibie njia ya mafanikio

Kisha fahamu
Upo Jf
Jf ni kiboko....
Subra muhimu sana ndg
Barikiwa
[emoji28][emoji28]watesekaji ni wengi..wapi nimesema nimewah ifanya hii biashara mkuu.?hebu andika biashara 6 nizilizowahi sema nimefanya!
Jamani kuna umri hata wa kuleta habari za fictions!
Kifupi wazaz wangu wlikua waajiriwa..so na wajasiriamali!wanaufanya had uzee wao...!ukiniona siku nyingine nacoment kuhusu ufugaji wa ngombe pia usishangae pia mkuu!najua abc zoote!kwenye kilimo ndo kabisa hom ni familia ya kulima!mzee kasomea haya mambo..na kwenye miti ukinikuta usije sema huy anafanya na hii?nop..ni biashara za hom !yaan nipoteze muda kuandika fictions nipate nn?ili iweje.unahis napata relief yyt maishani!??...kumuwish tu mtu all the best(as nna idea na mbao) bas imekuwa nongwa!jamani nipumzisheni basi!
Muwe mnacment nyie msiokuwa na fictions..ukiniona nna fictions niache!
 
Hakikisha una timber yako Dodoma, shika mafundi wote wa kupaua hapo Dom kila wkend watoe mnadan nyama choma tengeneza kabisa group la whatsup mnakua mnachat Mara kwa Mara. Mizigo itakuja tu yenyewe kuna akina cf wa Mafinga ana uwezo wa kukuletea hata lorry 10 kwa siku. Cha muhimu pigania uwe na power ya kuuza
Asante sana Mkuu
 
Hii biashara nzuri sana mkuu Freed Freed. Fanya kama walivyosema wajumbe wengine, tafuta eneo la kuuzia huko Dom na kwa mtaji huo wengine mizigo tutakuletea hapo hapo utakapokuwa umepata ofisi. Wewe utakuwa unapiga tu cha juu bila kupata usumbufu wa shambani na njiani.
Sawasawa
 
Mwanamke mwenzio anakuonea wivu kamanda kwa mafanikio yako
[emoji28][emoji28][emoji28]nilishakuona kila nachoandika unateseka na mm...nimesema ada .km ada jua nilikua chini ya wazaz!naijuia vilivyo uwanja wa hom ulikua unajaa mbao ...ameifanya sana baba as had leo anauza misitu yake!ha leo tuna banda mfu basihaya!

Usiteseke na usiyemjua!
 
Mwanamke mwenzio anakuonea wivu kamanda kwa mafanikio yako

Sio wivu as mie sina kitu bado nafight!humu tatizo wengi ni watoto bas wanahis wote ni kula kulala!
Mimi sina rafiki ambaye sina faida naye😄😄(yaan mradi rafiki NEVER)!ukiona huyu nimeamua awe rafiki yangu jua amenipita kitu/..kuna kitu nataka learn from him/her!ss mwingine anakuona mtu wa fixxxxx!ili nipate nafuu gani sasa😅!jf ina viroja sana!. Anyways najifunza!
 
Back
Top Bottom