Kwa mliopo Mufindi na kwingineko, nataka nijitose kwenye biashara ya mbao, naombenini ushauri na uzoefu

Kiongozi
2x2= Tsh 1200
1x4=Tsh 1200
2x4=Tsh 3300
2x6=Tsh 4200
1x8=Tsh 5700
1x10=Tsh 9500

Hizo ni bei za Kila size ya Mbao Nipigie cm 0737263867.
Nibiashara zuri sana ukiwa na soko la uhakika asikukatishe mtu tamaa mawa,o yako ni mazuri. Kuhusu maswala ya vibali ni rahisi sana maliasili tunaongea nao vizuri wala hamna shida yoyote ikiwa maliasili wanasumbua,pia vipo vibali vya kukodi ko ondoa wasiwasi kabisa.

Na gharama nyingine nauli ya Transpoty ni kawaida tu.

Ushuru kila ubao kwa sasa ni Tsh 200 haijalish saizi gani.

SEMI INA PAKIA MBAO 3500 HADI 4000
Ko piga hesabu zako. karibu Boss najishughulisha na hiyo kazi.

Pia hizo bei za mbao niza kawaida sana mvua zikikata kuna mbao hadi za 900-1000 2x2. huko tunako chukulia kuleta sokoni.

Piga 0737263867 Whatssap
Piga 0673376687

 
Kwa hizo bei mbao zako ni za vijijini sio zile za miti ya serikali hivyo ni changa. Zitampigisha hasara jamaa baada ya siku chache zinapinda na kuvunjika vunjika.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Cyprus vp ipo na bei
 
Bei Za kila size ya ubao

2x2=1200
1×4=1200
2×4=3200
2×3=2200
2×6=4300
1×8=5700
1×10=9600

Ushuru kila unao ni Tsh 250 haijalishi size ya ubao.
Nauli inategemeana na gari unayo pakia lakini ni ya kawaida tu lakini ili uone faida nzuri safirisha mzigo kwa kutumia Gari tani 30 au tani 15.

Kuhusu vibali vya maliasili wala usijali ni rahisi sana, ikiwa itakua ngumu hata mimi naweza kukusaidia kuweza safirisha mzigo wako kwa

Piga simu 0737263767 Whatsaph
Piga 0673376687

 
Kwa hizo bei mbao zako ni za vijijini sio zile za miti ya serikali hivyo ni changa. Zitampigisha hasara jamaa baada ya siku chache zinapinda na kuvunjika vunjika.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Sio kiongozi wengi ndo tunasafirisha ni mbao nzuri kabisa na bora sana cha msingi awe na soko la kuaminika mzigo usikae zaidi ya miezi miwili au mitatu awe suplaya ni mbao supa kupinda ipo kazi na Miti imekoma sana.

Msitu wa serikali unalisha kwa sehemu ndogo sana sehemu kubwa ni mbao zinazo toka kwa wakulima wadogo wadogo.

Nenda kaangalie Soko la Bughuluni mbao nyingi ni supa na ndo zinazo toka lwa wakulima wadogo.
 
Hili ndio nalijua mim Serikal ina utaratibu wake kuanzia kuvuna mpaka kuuza so mbao zinazotegemewa kwa kiasi kikubwa ni za wakulima
Kwa hiyo mashamba ya Serikali hayawezi kulisha kwa [emoji817] but yeye awe makini tu na wahuni wa pale Mafinga na vizur kama atafanya study kidogo kuhusu hii biashara kabla kuingia moja kwa moja
 
Ni kweli Mkuu unacho kiongea cha msingi ni umakini tu lakini kwa kuwa kama atanitafuta, sisi tuko huko, contact ziko hapo, mi nakuelekeza bila shaka kazi kwake atakavyo fanya.
 
Ni kweli Mkuu unacho kiongea cha msingi ni umakini tu lakini kwa kuwa kama atanitafuta, sisi tuko huko, contact ziko hapo, mi nakuelekeza bila shaka kazi kwake atakavyo fanya.
Jamani wazima?
Nimepita juzi mitaa ya Kibengu, ni hatari tupu, kuna miti inabakwa sana, ukiongeza na ile iliyopata ajali ya moto mwaka jana, basi ni taabu tupu.
 
Transport bei gani Kwa kila kilomita moja ? Au kama Una ABC zaidi kuhusu nauli.

Je gharama ya vibali ipoje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…