lord atkin
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 257
- 922
Mshindo kupitia msisimko wa tezi dume (prostate orgasm) ni hali ambayo mtu anaweza kufika kileleni kutokana na msisimko wa tezi dume.
Watu wanaopitia hali hii hueleza hisia tofauti, lakini baadhi husema msisimko huanza taratibu na kuongezeka ndani ya nyonga, kisha kusambaa sehemu nyingine za mwili. Wengine huhisi msisimko wa ndani ulio tofauti na mshindo wa kawaida, misuli ya nyonga ikijikaza na kulegea kwa mfululizo.
Wakati mwingine mtu anaweza kufika kileleni bila kutoa shahawa, ingawa kwa wengine shahawa hutoka kama kawaida. Baada ya mshindo, mtu anaweza kuhisi utulivu, furaha au uchovu kidogo. Hata hivyo, uzoefu huu hutofautiana kati ya mtu na mtu; wengine huueleza kuwa wenye hisia kali au zinazodumu kwa muda mrefu, wakati wengine hawaoni tofauti kubwa na mshindo wa kawaida.
Muhimu ni kujua kwamba hali hii haipaswi kusababisha maumivu makali, na ikiwa kuna maumivu, damu au usumbufu unaoendelea, ni vizuri kupata ushauri wa daktari.
Ngoja waje
View attachment 3690717
anamaanisha nin sijamuelewa.Nipo hapa kujifunza
Mimi nimesoma orgasim in general ila huyu sijui ana maanisha orgasim ya aina gani... ngoja tuone!anamaanisha nin sijamuelewa.
Msisimuko,utamu na utachakata mbususu kama kawaida,tofauti iwapo bado hujafanyiwa oparesheni ya tezi dume,utakutana na delayed ejaculation kwa maana utamaliza kunyandua na kama utaitoa mtalimbo mapema,basi wakati mtalimbo upo nje ndio utaona shahawa zinadondoka.Na kama umefanyiwa basi utapata retrograde ejaculation au dry ejaculation,yaani hitakuwa unatoa shahawa kabisa ika kunyandua itanyandua vizuri tuJust wondering na kutaka kujifunza kupitia wazoefu wa hili swala huwa inakuwaje?. Je mwanaume unajisikiaje ukifikia msindo/ kileleni kupitia msisimko wa tezi kibofu(prostate).
Is it worth trying? Au tuachane nayo?. Ningefurahi kupata majibu kutoka kwa wale wazoefu waliowahi kufanya kwa lengo la wengine kujifunza.
😁😁😁Mimi nimesoma orgasim in general ila huyu sijui ana maanisha orgasim ya aina gani... ngoja tuone!
Kumbe wanaumeJust wondering na kutaka kujifunza kupitia wazoefu wa hili swala huwa inakuwaje?. Je mwanaume unajisikiaje ukifikia msindo/ kileleni kupitia msisimko wa tezi kibofu(prostate).
Is it worth trying? Au tuachane nayo?. Ningefurahi kupata majibu kutoka kwa wale wazoefu waliowahi kufanya kwa lengo la wengine kujifunza.
Ni nini kwanza anachoongelea?Mambo mengine waachie watu weupe, hiyo ukijaribu utapoteza ubingwa.
Napenda hizi mada ila sijaelewa sijui jamanJust wondering na kutaka kujifunza kupitia wazoefu wa hili swala huwa inakuwaje?. Je mwanaume unajisikiaje ukifikia msindo/ kileleni kupitia msisimko wa tezi kibofu(prostate).
Is it worth trying? Au tuachane nayo?. Ningefurahi kupata majibu kutoka kwa wale wazoefu waliowahi kufanya kwa lengo la wengine kujifunza.
Zikwapi hizo tezi kibofu???