Mwaka wa Mbele
JF-Expert Member
- Mar 5, 2026
- 1,013
- 3,017
Napenda hizi mada ila sijaelewa sijui jaman
Prostate gland. Au tezi dume haionekan kwa nje.
Sio mapumbu.
Yenyewe iko katkat ya Uume na Anus. Kwenye kamfereji hapo kinachoanzia chini ya mapumbu na kuishia kwa anus. Bas hapo katkat. Ila kwa ndan yake ndio hizo prostate ziko.
Ni kweli unaweza kufika mshindo kwa kusisimua hizo tezi.
Ni kama G sport kwa mwanamke.
Sasa ili uzisisimue hizo prostate gland na kufika mshindo ni lazima uingize kidole kwenye anus . Kiingie na uzungushe kwa juu kama unaelekea kwenye uume/ mapumbu, utagusa hizo tezi dume. Na ukisugua sugua kwa kidole ndio utafika mshindo.
Ndio maana hata wanaoumwa Tezi dume kipimo kimoja wapo ni Dokta aingize kidole kwa Anus na apandishe juu kuelekea kwa Mapumbu/uume ili kuona kama zimevimba au lah.
Zikivimba basi ndio unaumwa Tezi dume.