Kwa mliowahi kufika kileleni/ mshindo kupitia msisimko wa tezi kibofu (prostate orgasm) huwa inakuwaje?

Kwa mliowahi kufika kileleni/ mshindo kupitia msisimko wa tezi kibofu (prostate orgasm) huwa inakuwaje?

Just wondering na kutaka kujifunza kupitia wazoefu wa hili swala huwa inakuwaje?. Je mwanaume unajisikiaje ukifikia msindo/ kileleni kupitia msisimko wa tezi kibofu(prostate).

Is it worth trying? Au tuachane nayo?. Ningefurahi kupata majibu kutoka kwa wale wazoefu waliowahi kufanya kwa lengo la wengine kujifunza.
Mbona kama umeandika mambo manne tofauti?
 
Kila atakae jaribu basi hatoacha so usijaribu mkuu. Fuatilia mashoga kwa nini hawaachi kuingiliwa?
 
Hata kama.Ni kosa sana kuwekana hadharani tena mbele au ndani ya majengo ya ibada za watu.

Wale wapumbavu walistahili kuuwawa.
 
Sio utaalamu, ni vitu ambavyo vipo documented hata online ukiingia unaviona, sema tu waafrika tunaona same sex kama ushetani ila ni kitu ambacho kipo hata kwenye jamii zetu kabla ya wakoloni kuja

Na walio criminalize same sex ni wakoloni kupitia laws na dini sababu walitaka watu wazaliane since wao walivyokuja Africa lengo kuu ilikua ni man power ndio maana homophobic ipo sehemu ambazo zilitawaliwa na watu wa ulaya (Africa and America)
Asia na Ulaya homophobic ipo kwa kiwango kidogo kuliko maeneo mengine

Waarabu walipokuja Africa kipindi cha utumwa miongoni mwa watumwa walikua wanauzwa kwa ajili ya masters wao kuwa sodomize, ina maana ni mambo ambayo walikua wanafanya even before kuja Africa

Ma chief wa kiafrika kabla ya wakoloni walikua na vijana ambao walikua wamewafanya wake zao ukitaka nenda kaulize wazee au soma historia,

Vijana wa kimasai wakitoka jando huwa wanakulana kutest mitambo ila haya hakuna atakayekuambia,

Mambo ni mengi ila all in all homophobic ni mkumbo na huko tunakoelekea same sex itakua ni kitu cha kawaida dunia nzima with no hate.

cocastic Confession Tundazuri BICHWA KOMWE -
Qumamakezenu halafu muachee kunifuata PM mimi sifiri mikundumichafu ya mashoga, mnajazana kwenye PM yangu kufuata nini?
 
Just wondering na kutaka kujifunza kupitia wazoefu wa hili swala huwa inakuwaje?. Je mwanaume unajisikiaje ukifikia msindo/ kileleni kupitia msisimko wa tezi kibofu(prostate).

Is it worth trying? Au tuachane nayo?. Ningefurahi kupata majibu kutoka kwa wale wazoefu waliowahi kufanya kwa lengo la wengine kujifunza.
Mshindo kupitia msisimko wa tezi dume (prostate orgasm) ni hali ambayo mtu anaweza kufika kileleni kutokana na msisimko wa tezi dume.

Watu wanaopitia hali hii hueleza hisia tofauti, lakini baadhi husema msisimko huanza taratibu na kuongezeka ndani ya nyonga, kisha kusambaa sehemu nyingine za mwili. Wengine huhisi msisimko wa ndani ulio tofauti na mshindo wa kawaida, misuli ya nyonga ikijikaza na kulegea kwa mfululizo.

Wakati mwingine mtu anaweza kufika kileleni bila kutoa shahawa, ingawa kwa wengine shahawa hutoka kama kawaida. Baada ya mshindo, mtu anaweza kuhisi utulivu, furaha au uchovu kidogo. Hata hivyo, uzoefu huu hutofautiana kati ya mtu na mtu; wengine huueleza kuwa wenye hisia kali au zinazodumu kwa muda mrefu, wakati wengine hawaoni tofauti kubwa na mshindo wa kawaida.

Muhimu ni kujua kwamba hali hii haipaswi kusababisha maumivu makali, na ikiwa kuna maumivu, damu au usumbufu unaoendelea, ni vizuri kupata ushauri wa daktari.
 
Ndugu bila shaka huyu ni AI
 
Sasa ili uzisisimue hizo prostate gland na kufika mshindo ni lazima uingize kidole kwenye anus
Screenshot_20261017-063758.jpg
 
Muulize Irene, nilikuwa namtober hadi anaanza kuvibrate kama simu, mapaja pia yanavibrate na k inatoa maji anatoa miguno kisenger yani ukiifikiria miguno yake kesho yake unamwita geto tena anakuja kuitumikia mboó.

Sahivi yuko benki 1 hivi na ameolewa tayari tunakutanaga kanisani tunajizuia kuongea chochote zaidi ya salamu maana huwa tukijisahau na kuongea deep zaidi tunajikuta tumetiana nasisi hatutaki kuendelea kunajisi ndoa zetu.
Hata wewe uliyemua aliliwa sana tu

USSR
 
Msisimuko,utamu na utachakata mbususu kama kawaida,tofauti iwapo bado hujafanyiwa oparesheni ya tezi dume,utakutana na delayed ejaculation kwa maana utamaliza kunyandua na kama utaitoa mtalimbo mapema,basi wakati mtalimbo upo nje ndio utaona shahawa zinadondoka.Na kama umefanyiwa basi utapata retrograde ejaculation au dry ejaculation,yaani hitakuwa unatoa shahawa kabisa ika kunyandua itanyandua vizuri tu
Hii experience sio nzuri nadhani, yani unaejaculate lakini ukiitoa ndio mbegu zinatoka kidogo kidogo, wtf dunia hii shida sa a!!
 
Back
Top Bottom