Kwa Mmakonde yeyote aliyopo humu naomba msaada wa kunitafsiria wimbo huu, chilambo Cha vene!

Dr wa Manesi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2024
Posts
6,479
Reaction score
4,974
Ni wimbo unaoitwa 'Chilambo Cha vene' uliopigwa na mwamba Halila Tongolanga "Field Marshal". Aisee wimbo umenishika vibaya huo miaka na miaka lakini si mjuzi wa kutosha wa kimakonde hivyo naomba msaada wako wa tafsiri ewe Mmakonde usiye na majivuno.....

Natanguliza shukrani,
Nawatakia Christmas njema!!
 
Kuna sehemu humu nilitafsiri..hebu nenda jukwaa la buridani unaweza kukuta.
Kutafsiri hapa naogopa hoja ya tafsiri ikageuzwa kwenye Siasa.
 
Back
Top Bottom