J johnmashilatu JF-Expert Member Joined Sep 16, 2010 Posts 1,263 Reaction score 1,753 May 1, 2025 Thread starter #21 CHIEF PRIEST said: John Mrema amechakaa kwa kukosa ruzuku uso umemshuka utafikiri malaya aliyetoa mimba. Click to expand... CDM wakiuliza ushauri wangu ningewaambia wapuuze hili kundi la G55 kwani halina athari yoyote.
CHIEF PRIEST said: John Mrema amechakaa kwa kukosa ruzuku uso umemshuka utafikiri malaya aliyetoa mimba. Click to expand... CDM wakiuliza ushauri wangu ningewaambia wapuuze hili kundi la G55 kwani halina athari yoyote.
CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 21,737 Reaction score 42,892 May 1, 2025 #22 johnmashilatu said: CDM wakiuliza ushauri wangu ningewaambia wapuuze hili kundi la G55 kwani halina athari yoyote. Click to expand... Tumeshawapuuza maana kila siku wanazidi kujidharaulisha. Wameshapewa mwaliko wa kwenda ACT Wazalendo ngoja tuone kama watapata huo ubunge wanaolilia.
johnmashilatu said: CDM wakiuliza ushauri wangu ningewaambia wapuuze hili kundi la G55 kwani halina athari yoyote. Click to expand... Tumeshawapuuza maana kila siku wanazidi kujidharaulisha. Wameshapewa mwaliko wa kwenda ACT Wazalendo ngoja tuone kama watapata huo ubunge wanaolilia.
J johnmashilatu JF-Expert Member Joined Sep 16, 2010 Posts 1,263 Reaction score 1,753 May 1, 2025 Thread starter #23 CHIEF PRIEST said: Tumeshawapuuza maana kila siku wanazidi kujidharaulisha. Wameshapewa mwaliko wa kwenda ACT Wazalendo ngoja tuone kama watapata huo ubunge wanaolilia. Click to expand... Jambo jema. Hakuna sababu ya kupigana vita nyingi tena nyingine dhidi ya watu kama hawa. Inawezekana moja ya malengo yao ni kuwaondoa katika malengo mapana.
CHIEF PRIEST said: Tumeshawapuuza maana kila siku wanazidi kujidharaulisha. Wameshapewa mwaliko wa kwenda ACT Wazalendo ngoja tuone kama watapata huo ubunge wanaolilia. Click to expand... Jambo jema. Hakuna sababu ya kupigana vita nyingi tena nyingine dhidi ya watu kama hawa. Inawezekana moja ya malengo yao ni kuwaondoa katika malengo mapana.