Kwa mnaoeneza uzushi dhidi ya kijana wa Kitanzania aliyeuawa na Hamas

Faizy fox hii inakuhusu😁
 
 
Tunaaminije kama wale ni HAMAS nasio Israel ambao wako tayari kufanya lolote lile kuhadaa ulimwengu?.

Imeshafafanuliwa na source ya hiyo video i.eshatajwa ilipotokea...

Fuatilia, maana nikikuambia hapa hutaamini...
 
Imeshafafanuliwa na source ya hiyo video i.eshatajwa ilipotokea...

Fuatilia, maana nikikuambia hapa hutaamini...
Wewe unaamini mwili unaweza kuchukuliwa mateka ? Taarifa ya habari azam saa 2 inasema mwili upo kwa hamas Gaza na kifo kilitokea israeli tarehe 7 inakuingia akilini hii?
 
Tatizo kuna watu wakiona waarabu wanachanganyikiwa kwao mwarabu huwa hawakosei Ila Kabila nyingine wanakosea ,wapo tayari kumkana mwafrika mwenzake sababu ya mwarabu Hamas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…