Kwa mnaoeneza uzushi dhidi ya kijana wa Kitanzania aliyeuawa na Hamas

We nyani babu umethibitisha lini kuwa anaonekana kwenye video ni Mollel?

You flipped the middle finger so the index finger should've followed. ✌
 
Na wewe mjinga, mpumbavu na mbumbumbu umetoa sababu gani ya kifo chake na kwanini kitokee kipindi hao wafuasi wa shetani HAMAS walipoivamia Nchi ya Ahadi Israel? Angelikufa babaako ingelikuwa heri! Nyambafu!!!
 
Leo watakushukia ndugu yangu na nunua bando kabisa ili uweze kuwapa majibu... utagombaniwa kama mpira wa corner... yumo FaizaFoxy, ngoja aweke bando, utasika habari zake muda si mrefu....🙂
Mtu anaenda kusoma sijui kilimo na kujiendeshea kibaiskeli chake ( labda ku-save nauli ya daladala) halafu ananyakwa na wahuni, muda si muda, anachomwa kisu cha mgongoni, huyo na malisasi anamiminiwa, sijui wazazi wake walipoiona ile video walikuwa na hali gani... kama ni mtoto wangu, nitawasaka usiku na mchana kwa mbinu zangu moja hadi mwingine tupige story za mauwaji mbele ya wazazi wao pia... halafu utasikia eti wauwaji hawana kosa - yule kijana alikuwa amevaa chupi yenye langi za jeshi- so pathetic na reasoning yao...
 
Wewe NI MNAFIKI.
Kipindi cha magufuli unakumbuka ulikuwa unatetea utumbo aliokuwa anafanya?ila leo unaonekana umeumizwa sanaaa.
Mkuu umesahau Watanzania wengi ni wanafiki na wajinga sana.

Fikiria tu hapa wanasema Netanyau aendeleze mauaji, alafu hao hao wanalalamika ndugu yetu kuuawa. Hawaoni kwamba kwa kushabikia na kuhamasisha Netanyau aongeze mauaji, ni sawa na kuweka saini hati ya kuuliwa ndugu zetu wengine waliopo huko Israeli.

Kesho akifa Mtanzania mwengine nyie mnaosema Netanyau aendelee kufanya mauaji mtawajibika kwa kifo chake. Mnauza ndugu zetu kwa hisia zenu za bei rahisi.

Mkiambiwa ukweli mnaanza kuleta udini.
 
Umemjibu vizuri mpumbavu sana yeye kweli kama ana hoja juu ya kifo cha Joshua angeandika kistaarabu kuliko kutukana watu. naku unga mkono huyu itakua mchele mchele watu ambao mchele mchele akili zao zipo kwenye mshipa wa mavi hazifanyi kazi mpaka wajambe sisi atufurahii kufa kwa Joshua hila hao wanaojifanya wana uchungu kuuwawa kwa Joshua wanatulazimisha kuonekana kama tume furahi kuuwawa kwa Joshua kupitia utumbo wao wanao andika humu mimi sifurahii matusi hila kwa mtu kama huyu kutukanwa ni sawa sawa kwasababu yy ndio alio anzisha matusi ndio maana hata jana nilimuambia huu utumbo alio andika hata familia ya marehemu Joshua haitakubariana nae
 
Umetukana ila hujaweka hoja yako vyema. Weka hoja vizuri nasi tuweze kusapoti hapo. Hakuna anayependa lililotokea. ila kijana alikuwa kavaa boxer ya kijeshi. Pia kuna picha inamwonyesha akiwa kwenye mavazi ya kimgambo na silaha nzito kashika. Labda ungeanzia hapi
 
Makasiriko on steroids,Ngabu amewasema baadhi ya waislam wanaopotosha habari za kijana wetu kuuawa na Hamas. Why wanafanya hivyo? Wewe una generalize kwamba Ngabu katupa jiwe kwa waislam wote . Soma between the lines.
 
Zile picha sio za mollel,wale vijana wa hovyo wanapost ili tu kutetea ajenda yao.
 
Balozi wa Palestine hawezi kulitolea ufafanuzi kwa sababu PLO hawana mamlaka Gaza. Ishu ya kushikilia maiti kwa upande wa Hamas au Hezbollah ni kawaida kwa sababu Israel huwa inadai mpaka maiti in exchange na wafungwa nk.
 
Tunaaminije kama wale ni HAMAS nasio Israel ambao wako tayari kufanya lolote lile kuhadaa ulimwengu?.
Swali fikirishi sana !
Na ieleweke kwamba hata katika bunge la Israel na katika jeshi la israel wapo waarabu ambao ni waisrael wapo bega kwa bega na wenzao katika vita dhidi ya Hamas !

Ndio watu wanaotoa mapovu wakaambiwa ikiwa hujui hata historia ya Tanganyika utaijuaje ya huko middle east ??!!
 
Ngoja wavaa kobaz na vipedo wakusikie uone watakavyotoa povu
 
Tunaaminije kama wale ni HAMAS nasio Israel ambao wako tayari kufanya lolote lile kuhadaa ulimwengu?.
Ni mwenye kuwaza nje ya box tu... Anaweza kulielewa hili...

Hili swala la mollel limechukua mwezi na zaidi kutolewa ufafanuzi wa kueleweka wa sababu halisi ya yeye kuuwawa...

Si serikali ya Israel ama hamas walioeleza kiundani tangu kutekwa na kuuawa kwa Joshua...

Hamas wamekuwa wakiwaonyesha mateka wao live wanaowashikilia ili kuudhihirishia ulimwengu nguvu waliyo nayo

Tangu kutokea hicho kifo... Kumekuwa na sintofahamu...

Sintofahamu hiyo inaongezeka zaidi baada ya hii video ya mollel akiuwa,

Pia, kwanini hii video iachiwe kipindi hiki!?... Baada ya watu kuhoji sana!?

It means ni tukio lililopangwa kiuweledi hadi kurecordiwa kabisa!... Ili kutunza kumbukumbu... So it was well planned! Absolutely!

Kwa mtu mwenye uelewa mpana lazima uhoji uhusika wa mossad(Israel) kwenye hili swala...

Watengeneza hii, kuchochea vita ya udini+Ili kutaka kuungwa mkono na jumuiya ya watu weusi duniani kote.


Na huu ndio ukweli!... Hamas hawahusiki na haya mauaji!
 
Balozi wa Palestine hawezi kulitolea ufafanuzi kwa sababu PLO hawana mamlaka Gaza. Ishu ya kushikilia maiti kwa upande wa Hamas au Hezbollah ni kawaida kwa sababu Israel huwa inadai mpaka maiti in exchange na wafungwa nk.
Lakini hamas katika taarifa za mateka waliokufa waliowashikilia hawajawahi kumtaja joshua. Kwanini?
 
Lakini hamas katika taarifa za mateka waliokufa waliowashikilia hawajawahi kumtaja joshua. Kwanini?
Hawakutangaza majina lakini usisahau kwamba Israel walichukua hatua za dharura kwa kufanya hesabu ya wakazi na wageni wa eneo lile. Wafu(maiti) na walio hai ili kuweza kujua (the missing) ambao ni mateka waliochukuliwa na Hamas.
 
Nataka nije nimtafune bibi mmoja humu anajifanya mfia dini hata kwa kubadili dini ili nimle...Naona upwiru umemjaaa sana na kua mjuaji wa kila jambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…