Kwa mnaoeneza uzushi dhidi ya kijana wa Kitanzania aliyeuawa na Hamas

Kwa mnaoeneza uzushi dhidi ya kijana wa Kitanzania aliyeuawa na Hamas

To all of you inventing and spreading calumnies against Joshua Mollel:

1. You are suckers.

2. You are all stupid people.

3. You are all idiots.

And if you believe everything that is being spread around by these people, then you are a sucker, a stupid person, and an idiot all in one bag of flesh!

Video iko dhahiri kabisa. Kijana hakufanya chochote kile kuhalalisha kuuliwa na hayo magaidi.

Halafu kuna Waislamu [siyo Waislamu wote] wapumbavu humu wameamua kuhalalisha mauaji yake!

Hivi kwa mfano jina lake lingekuwa ni Mahamudi Msakamali, nyie wazushi mngeeneza huo uzushi wenu kama mnavyofanya sasa?

Sifurahii mauaji ya raia yeyote yule asiye na hatia na aliyejisalimisha, lakini acha tu Netanyahu awashikishe adabu.

Mbwa nyie 🖕.
We nyani babu umethibitisha lini kuwa anaonekana kwenye video ni Mollel?

You flipped the middle finger so the index finger should've followed. ✌
 
To all of you inventing and spreading calumnies against Joshua Mollel:

1. You are suckers.

2. You are all stupid people.

3. You are all idiots.

And if you believe everything that is being spread around by these people, then you are a sucker, a stupid person, and an idiot all in one bag of flesh!

Video iko dhahiri kabisa. Kijana hakufanya chochote kile kuhalalisha kuuliwa na hayo magaidi.

Halafu kuna Waislamu [siyo Waislamu wote] wapumbavu humu wameamua kuhalalisha mauaji yake!

Hivi kwa mfano jina lake lingekuwa ni Mahamudi Msakamali, nyie wazushi mngeeneza huo uzushi wenu kama mnavyofanya sasa?

Sifurahii mauaji ya raia yeyote yule asiye na hatia na aliyejisalimisha, lakini acha tu Netanyahu awashikishe adabu.

Mbwa nyie 🖕.
Na wewe mjinga, mpumbavu na mbumbumbu umetoa sababu gani ya kifo chake na kwanini kitokee kipindi hao wafuasi wa shetani HAMAS walipoivamia Nchi ya Ahadi Israel? Angelikufa babaako ingelikuwa heri! Nyambafu!!!
 
To all of you inventing and spreading calumnies against Joshua Mollel:

1. You are suckers.

2. You are all stupid people.

3. You are all idiots.

And if you believe everything that is being spread around by these people, then you are a sucker, a stupid person, and an idiot all in one bag of flesh!

Video iko dhahiri kabisa. Kijana hakufanya chochote kile kuhalalisha kuuliwa na hayo magaidi.

Halafu kuna Waislamu [siyo Waislamu wote] wapumbavu humu wameamua kuhalalisha mauaji yake!

Hivi kwa mfano jina lake lingekuwa ni Mahamudi Msakamali, nyie wazushi mngeeneza huo uzushi wenu kama mnavyofanya sasa?

Sifurahii mauaji ya raia yeyote yule asiye na hatia na aliyejisalimisha, lakini acha tu Netanyahu awashikishe adabu.

Mbwa nyie 🖕.
Leo watakushukia ndugu yangu na nunua bando kabisa ili uweze kuwapa majibu... utagombaniwa kama mpira wa corner... yumo FaizaFoxy, ngoja aweke bando, utasika habari zake muda si mrefu....🙂
Mtu anaenda kusoma sijui kilimo na kujiendeshea kibaiskeli chake ( labda ku-save nauli ya daladala) halafu ananyakwa na wahuni, muda si muda, anachomwa kisu cha mgongoni, huyo na malisasi anamiminiwa, sijui wazazi wake walipoiona ile video walikuwa na hali gani... kama ni mtoto wangu, nitawasaka usiku na mchana kwa mbinu zangu moja hadi mwingine tupige story za mauwaji mbele ya wazazi wao pia... halafu utasikia eti wauwaji hawana kosa - yule kijana alikuwa amevaa chupi yenye langi za jeshi- so pathetic na reasoning yao...
 
Wewe NI MNAFIKI.
Kipindi cha magufuli unakumbuka ulikuwa unatetea utumbo aliokuwa anafanya?ila leo unaonekana umeumizwa sanaaa.
Mkuu umesahau Watanzania wengi ni wanafiki na wajinga sana.

Fikiria tu hapa wanasema Netanyau aendeleze mauaji, alafu hao hao wanalalamika ndugu yetu kuuawa. Hawaoni kwamba kwa kushabikia na kuhamasisha Netanyau aongeze mauaji, ni sawa na kuweka saini hati ya kuuliwa ndugu zetu wengine waliopo huko Israeli.

Kesho akifa Mtanzania mwengine nyie mnaosema Netanyau aendelee kufanya mauaji mtawajibika kwa kifo chake. Mnauza ndugu zetu kwa hisia zenu za bei rahisi.

Mkiambiwa ukweli mnaanza kuleta udini.
 
Ungeandika kistaarab ungepungukiwa na nini?sasa kwa kua umeandika kwa lugha mbovu na mimi nakujibu kwa lugha mbovu pia

Mbona wewe "shoga" kipindi kile cha hayati uliamua kuunga mkono kwasababu alikua ni msukuma mwenzio na ukasapoti utekaji mauaji na mateso dhidi ya Watz wenzako mbona hukutoa hilo pua lako?

Waliokua wanauawa na Magu wakati wa awamu ya tano "jee walistahili kuuliwa kikatili vile?" Mimi sipendag unafiki kabisa.

Ukatoka huko nje kwa kuunga mkono juhudi ukaja kulambishwa uteuzi huko Ifakara Morogoro na Magu still sahivi unajiona una uchungu

Una miaka 44 huna hata mtoto wa kusingizia,huna mke zaidi ya kupakuliwa makimba tu....

Ushoga ni mbaya sana unazeeka bila mtoto mzee baba halafu wadudu wanaonyevua mtu nyuma wapo kama wadudu wa HIV wakianza kumpanda mtu kichwani anakua kama kichaa

Shahawa sio kitu kizuri kabisa, 44 years jitu la hovyo linapakuliwa hadi na yule balozi wa nchi ile sitaki kuitaja ndo anakuja kuropoka ujinga

@nyaningabu uache kwanza tabia ya kupumuliwa una 44 years kweli nimeamini shahawa zikimuingia mtu huwa kama kichaa cha mbwa!!

Pumbavu kabisa wewe! Ungeacha kwanza ushoga ningekuona wa maana unapakuliwa nyuma halafu unaleta ujinga hapa jukwaani?
Umemjibu vizuri mpumbavu sana yeye kweli kama ana hoja juu ya kifo cha Joshua angeandika kistaarabu kuliko kutukana watu. naku unga mkono huyu itakua mchele mchele watu ambao mchele mchele akili zao zipo kwenye mshipa wa mavi hazifanyi kazi mpaka wajambe sisi atufurahii kufa kwa Joshua hila hao wanaojifanya wana uchungu kuuwawa kwa Joshua wanatulazimisha kuonekana kama tume furahi kuuwawa kwa Joshua kupitia utumbo wao wanao andika humu mimi sifurahii matusi hila kwa mtu kama huyu kutukanwa ni sawa sawa kwasababu yy ndio alio anzisha matusi ndio maana hata jana nilimuambia huu utumbo alio andika hata familia ya marehemu Joshua haitakubariana nae
 
Tunaaminije kama wale ni HAMAS nasio Israel ambao wako tayari kufanya lolote lile kuhadaa ulimwengu?.
1000100865.jpg
 
To all of you inventing and spreading calumnies against Joshua Mollel:

1. You are suckers.

2. You are all stupid people.

3. You are all idiots.

And if you believe everything that is being spread around by these people, then you are a sucker, a stupid person, and an idiot all in one bag of flesh!

Video iko dhahiri kabisa. Kijana hakufanya chochote kile kuhalalisha kuuliwa na hayo magaidi.

Halafu kuna Waislamu [siyo Waislamu wote] wapumbavu humu wameamua kuhalalisha mauaji yake!

Hivi kwa mfano jina lake lingekuwa ni Mahamudi Msakamali, nyie wazushi mngeeneza huo uzushi wenu kama mnavyofanya sasa?

Sifurahii mauaji ya raia yeyote yule asiye na hatia na aliyejisalimisha, lakini acha tu Netanyahu awashikishe adabu.

Mbwa nyie 🖕.
Umetukana ila hujaweka hoja yako vyema. Weka hoja vizuri nasi tuweze kusapoti hapo. Hakuna anayependa lililotokea. ila kijana alikuwa kavaa boxer ya kijeshi. Pia kuna picha inamwonyesha akiwa kwenye mavazi ya kimgambo na silaha nzito kashika. Labda ungeanzia hapi
 
Mimi nishamaliza kuonyesha upumbavu wako na chuki zako na narudia tena nitaona ajabu kama kuna muislamu awe rafiki yako au jirani au mfanya kazi mwenzako au mnakaa nyumba moja atakayeona andiko lako hili halafu bado akaendelea kukufanya rafiki au jirani yake mwema au mfanya kazi mwenzie huyo muislamu nitamshangaa sana kua karibu na adui yake na hilo dole ulilo lionyesha ina dhirisha wazi kwamba mpaka leo bado una lala chumba kimoja na babako pamoja na mamako kwahio wanavyo ingazana vidole unawaona ndio maana umezoea kuonyesha watu vidole kwasababu ni jambo unalo liona kila siku chumbani kwa wazazi wako
Makasiriko on steroids,Ngabu amewasema baadhi ya waislam wanaopotosha habari za kijana wetu kuuawa na Hamas. Why wanafanya hivyo? Wewe una generalize kwamba Ngabu katupa jiwe kwa waislam wote . Soma between the lines.
 
Umetukana ila hujaweka hoja yako vyema. Weka hoja vizuri nasi tuweze kusapoti hapo. Hakuna anayependa lililotokea. ila kijana alikuwa kavaa boxer ya kijeshi. Pia kuna picha inamwonyesha akiwa kwenye mavazi ya kimgambo na silaha nzito kashika. Labda ungeanzia hapi
Zile picha sio za mollel,wale vijana wa hovyo wanapost ili tu kutetea ajenda yao.
 
Naangalia taarifa ya habari hapa azam .wanasema eti mwili baada ya kuuwawa ulichukuliwa kama mateka na Hamas. Nikifanya reference mwanzo kidogo wa hii vita ripoti kutoka kwa Hamas ilikua ni kwamba wanawashikilia mateka wasiopungua 240 kutoka israeli hakukua na maiti inayoshikiliwa.na kama ilikuwepo taarifa haikutolewa kwanini? Nakumbuka watu wa mwanzo kuanza kuripotiwa kufariki alikua ni mzee anaesumbuliwa na moyo sijui pressure taarifa ikatolewa.

Bado sana mimi kuamini kuwa Joshua aliuliwa na Hamas kama kuna uwezekano balozi wa palestina atolee taarifa suala hili.
Balozi wa Palestine hawezi kulitolea ufafanuzi kwa sababu PLO hawana mamlaka Gaza. Ishu ya kushikilia maiti kwa upande wa Hamas au Hezbollah ni kawaida kwa sababu Israel huwa inadai mpaka maiti in exchange na wafungwa nk.
 
Tunaaminije kama wale ni HAMAS nasio Israel ambao wako tayari kufanya lolote lile kuhadaa ulimwengu?.
Swali fikirishi sana !
Na ieleweke kwamba hata katika bunge la Israel na katika jeshi la israel wapo waarabu ambao ni waisrael wapo bega kwa bega na wenzao katika vita dhidi ya Hamas !

Ndio watu wanaotoa mapovu wakaambiwa ikiwa hujui hata historia ya Tanganyika utaijuaje ya huko middle east ??!!
 
To all of you inventing and spreading calumnies against Joshua Mollel:

1. You are suckers.

2. You are all stupid people.

3. You are all idiots.

And if you believe everything that is being spread around by these people, then you are a sucker, a stupid person, and an idiot all in one bag of flesh!

Video iko dhahiri kabisa. Kijana hakufanya chochote kile kuhalalisha kuuliwa na hayo magaidi.

Halafu kuna Waislamu [siyo Waislamu wote] wapumbavu humu wameamua kuhalalisha mauaji yake!

Hivi kwa mfano jina lake lingekuwa ni Mahamudi Msakamali, nyie wazushi mngeeneza huo uzushi wenu kama mnavyofanya sasa?

Sifurahii mauaji ya raia yeyote yule asiye na hatia na aliyejisalimisha, lakini acha tu Netanyahu awashikishe adabu.

Mbwa nyie [emoji867].
Ngoja wavaa kobaz na vipedo wakusikie uone watakavyotoa povu
FB_IMG_1700579192159.jpg
 
Tunaaminije kama wale ni HAMAS nasio Israel ambao wako tayari kufanya lolote lile kuhadaa ulimwengu?.
Ni mwenye kuwaza nje ya box tu... Anaweza kulielewa hili...

Hili swala la mollel limechukua mwezi na zaidi kutolewa ufafanuzi wa kueleweka wa sababu halisi ya yeye kuuwawa...

Si serikali ya Israel ama hamas walioeleza kiundani tangu kutekwa na kuuawa kwa Joshua...

Hamas wamekuwa wakiwaonyesha mateka wao live wanaowashikilia ili kuudhihirishia ulimwengu nguvu waliyo nayo

Tangu kutokea hicho kifo... Kumekuwa na sintofahamu...

Sintofahamu hiyo inaongezeka zaidi baada ya hii video ya mollel akiuwa,

Pia, kwanini hii video iachiwe kipindi hiki!?... Baada ya watu kuhoji sana!?

It means ni tukio lililopangwa kiuweledi hadi kurecordiwa kabisa!... Ili kutunza kumbukumbu... So it was well planned! Absolutely!

Kwa mtu mwenye uelewa mpana lazima uhoji uhusika wa mossad(Israel) kwenye hili swala...

Watengeneza hii, kuchochea vita ya udini+Ili kutaka kuungwa mkono na jumuiya ya watu weusi duniani kote.

Na huu ndio ukweli!... Hamas hawahusiki na haya mauaji!
 
Balozi wa Palestine hawezi kulitolea ufafanuzi kwa sababu PLO hawana mamlaka Gaza. Ishu ya kushikilia maiti kwa upande wa Hamas au Hezbollah ni kawaida kwa sababu Israel huwa inadai mpaka maiti in exchange na wafungwa nk.
Lakini hamas katika taarifa za mateka waliokufa waliowashikilia hawajawahi kumtaja joshua. Kwanini?
 
Lakini hamas katika taarifa za mateka waliokufa waliowashikilia hawajawahi kumtaja joshua. Kwanini?
Hawakutangaza majina lakini usisahau kwamba Israel walichukua hatua za dharura kwa kufanya hesabu ya wakazi na wageni wa eneo lile. Wafu(maiti) na walio hai ili kuweza kujua (the missing) ambao ni mateka waliochukuliwa na Hamas.
 
Nataka nije nimtafune bibi mmoja humu anajifanya mfia dini hata kwa kubadili dini ili nimle...Naona upwiru umemjaaa sana na kua mjuaji wa kila jambo.
 
Back
Top Bottom