McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakuu,
Naombeni kujuzwa changamoto za nyumba kama hizi. Chache nnazozijua:
Nyie wenzangu changamoto nyingine mnazozijua ni zipi?
Naombeni kujuzwa changamoto za nyumba kama hizi. Chache nnazozijua:
- Ukiibiwa hamna shahidi ila ukivusha manzi ndo utajua kama unaishi na milard ayo
- Kila mtu ni DJ na usimwambie apunguze sauti sababu hujamnunulia sabufaa na humlipii umeme wala chochote
- Mnaishi kama bwenini hamna cha mtu, majiko, ndoo, beseni, vyombo ni mali ya umma.
Nyie wenzangu changamoto nyingine mnazozijua ni zipi?